Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.
Umeongea kwa kufanya utafiti au chuki dhidi ya Serikali ya mheshimiwa JPM? Maana ungejua advantage za kujenga fly over usingukuja na blah blah.Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Hata flyover ni daraja unajua maana ya flying over?View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Hiyo ni interchange,View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
zote ni fly overView attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
na yale madaraja ya kenya wanayoyaita fly over yatakuwa ni nini sasazote ni fly over
Acha mikwara, chuki iko wapi?Umeongea kwa kufanya utafiti au chuki dhidi ya Serikali ya mheshimiwa JPM? Maana ungejua advantage za kujenga fly over usingukuja na blah blah.
Kwa kukusaidia tafuta hotuba ya Waziri kivuli wa mawasiliano na uchukuzi(MBATIA) kwa upande upinzani ya mwaka wa fedha 2016/2017 anaongelea umuhimu wa barabara za juu(fly over) tena ilikuwa inashauri serikali kwa ijenge barabara za juu ili ujue ina multi impact gani kwa maendeleo ya kiuchumi kama nchi na wananchi kiujumla.