Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu Misuli nisaidie, hiyo flyover imejengwa na Magufuli au msaada wa wajapani?
 
Nimeshangaa sana,swala la kueleza tu nini maana ya flyover, tayar mtu kaanza kuleta ujuaji wa kutembea sana ooh Nairobi mara cjui wapi.Ni kweli ujuaji ukizidi mwisho unakua limbukeni
Hawa makamanda uchwara kwa wao Nairobi ndio ahera mwanzo mwisho, ha ha ha.
 
Ukiangalia definition ya flyover, utashindwa kuelewa wanaopinga ile ya tazara sio flyover wanatumia definition ipi.Au ndio mwendelezo wa kupinga kila kitu?

Mkuu Misuli huwa nashangaa shida iko wapi kama kuna wanaopinga kila kitu, na wakati huohuo kuna wanaounga mkono kila kitu? Hebu nisaidie ni wapi bora, wanaopinga kila kitu na wanaounga mkono kila kitu?
 
Mbona Jakaya Kikwete mnamtendea hivi? Ni kweli hilo daraja la Tazara ni mradi wa awamu ya tano? Na siyo mradi wa JK?
 
Halafu anakuja Mtu Mzima Na akili zake anasema Tangu uhuru Hakuna kulichofanyika

John Magufuli anahitajiwa Sana Tanzania Kuliko kipindi chochote Kile
Kwa hiyo miaka zaidi ya 50 ya uhuru ccm mnajivunia hilo daraja?!
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Kwa watawala wa Africa hio ni ndoto,vipaumbele vyao sio vya wananchi vyao ni maendeleo ya vitu sio watu.
 
Back
Top Bottom