UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na wakufanana nawe!
Kuna kaumri mwanamke anza kufanya mabadiliko ya kimuonekano na maneno unayoyaongea... Sasa mda wote umevaa vimini mapaja wazi, mdomo wako umejaa uswahili na umbea!!! Afu unataka husband material,, Ndugu yangu usipo badilika!! Wee utakutana na chapa ilale... Hakuna atakayekubali kuwa na mke amabye watoto wataiga utumbo kwake!!
Wanaume kwenye secta ya kuoa wako makini kuliko mwanamke unavyoweza kufikiria!!!
Anaangalia mwanamke anayeweza akamtambulisha nyumbani na wakamkubali... Anataka mwananke mlezi wa watoto wake,, Sasa wewe kutwa mwanamke vimini mapaja wazi, umenyoa kiduku, madeni wewe, Disco hazikupiti!!! Afu umekomaa eti nataka nipate mwanaume anaejielewa..!!
DUH!! Mwenye sikio na asikie... Neno langu sio sheria... ushauri si amri... Utamlaumu MUNGU wee... Utaongea maneno ya kijasiri eti MUNGU ndiye anayepanga,, kumbe mchawi wa ndoto zako Ni wewe mwenyewe!!! Hata vitabu vya DINI vinasema watu wangu wanaangamina kwa kukosa maarifa!!!
MAOMBI yangu kwa MUNGU kwa wale mahome boys na girls fighter wapambanaji wanaojistiri miili yao na kujiheshimu nawaombea kwa MUNGU awaonyeshe wanaume na wanawake wa ndoto zao. Amini,, amini,, amini,,