Muonekano wa dimba la Mkapa kuelekea mechi ya Dabi, Yanga dhidi ya Simba

Muonekano wa dimba la Mkapa kuelekea mechi ya Dabi, Yanga dhidi ya Simba

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.

 
Selikali ya ki K hadi leo viti havijakamilika.

Shenzi kabisa
 
Tupe picha ya Sasa... Je wanaingia uwanjani!?
 
Back
Top Bottom