NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hatari sana.View attachment 2255681
ukisikia copy ndo hii,hii ndo copy ya kombe lenyewehatari sana.View attachment 2255681
Ilo kombe jipya ni kufunga mota tu unaanza kazi ya kusaga nafaka[emoji23][emoji23]ukisikia copy ndo hii,hii ndo copy ya kombe lenyewe
wenyewe kwenye picha wanavyoangalia kwa mashaka wanajua hapa tumetoa bokoIlo kombe jipya ni kufunga mota tu unaanza kazi ya kusaga nafaka[emoji23][emoji23]
Fundi maico
Nimechekaje.... !! Eti hizo Ncha..Izo ncha za kombe sikumoja zitakuja kujeruhi mtu,kombe ni baya sio siri ndugu zangu.
Kale kakombe ka Azam FA huwa kamekaa vizuri sana, sijui hawa wanafeli wapi tu.Halafu ukifuatilia hela iliyotumika kununulia hiyo takataka, unaweza ukakosa kabisa hamu ya kuishi hapa duniani!
Masau Bwire aamini macho yake,anajiuliza,"jeshini mbona tuna silaha ya namna hii"Ukiligeuza upside down linakuwa kama missile
[emoji23][emoji23][emoji23]Kombe linamzidi kibwana Shomari urefuuu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kombe kama blender ya matunda
tunamsubiri masau wire aje na mrejeshoKwanini kwetu ubunifu ni tatizo sugu?
View attachment 2255181