Muonekano wa Kombe la NBC 2021/22

Muonekano wa Kombe la NBC 2021/22

kamati ya manunuzi imeshakula ........percent.kweli halina hadhi ya ligi kuu Tanzania.kombe hili ni la kushindaniwa na timu za mashirika ya umma na umiseta.
 
vipi na hili tuliiteje
images%20(23).jpg
 
Kama brender [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nadhani hii ni ngao kama ilivyo kwetu ngao ya jamii,unakumbuka kuna mwaka Simba alichukua ngao ya jamii ila waandaaji walikosea kuandaa jina.
Hilo ndio kombe la BUNDESLIGA ya UJERUMANI.
Pia UHOLANZI wanatumia AINA hiyo ya Kombe.
 
Inamaana lile simba kaondoka nalo
Simba wamechukua mara 4 mfululizo,mara 3 wanapewa mazima ,mara ya nne inakuwa lingine mpya,nadhani Yanga walitakiwa wapewe hiyo ya nne ya Simba sijui why wametengenezewa mpya.
 
Kombe la shirikisho ni hili hapa linajulikana msifanye uhuni mkisikia bingwa wa shirikisho ni Yanga mkabadilisha kua brenda ya juis.[emoji116]
images%20(4).jpg
 
Kombe limekaa kama mashine ya kukamua miwa.

Watakaochukua ubingwa nawahurumia kwa ukubwa wa hilo dude, kama pipa vile!!, wangefanya kama kale ka finallisima alikochukua Argentina, ni kazuri sana hata mtoto anakabeba
 
Back
Top Bottom