Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

haya ndio matatizo yenu nyinyi nazichadema, mnashangilia na yakwenu yako motoni, kweli nyie ni big time fools
Kauli kama hizi ni za mtu aliyepagawa baada ya kupata matokeo sio!!hapa sio suala la uchadema wala nini, tuangalie uhuni alioufanya huyo sabaya, kwa mpenda haki yoyote yule lazima atafurahi kuona kuwa haki imetendeka, hata mimi mkulima kwa mwendelezo wa kesi ile nilijua kabisa endapo jamuhuri itatenda haki lazima tu hukumu ya hivi ingetokea tu!!sasa watu waache kufurahi kisa kuna kesi ya mbowe iko mahakamani bado?!!hizo ni akili?na hata kwenye rufaa ni ngumu sana, kuchomoka, kwani yeye aliyafanya hadharani kwa kumtegemea sponsor!! Hata kama mbowe atapatikana na hatia(japo kwa mimi mkulima)kwa nilivyoona tu maelezo ya watuhumiwa ktk kesi ndogo, iliyoanza ndani ya kesi kubwa, na taratibu zote za kuendesha kesi zikifuatwa, sitashangaa kuona wanashinda hiyo kesi!!na hakuna atakaye shangaa kwani kesi sio MAZINGAOMBWE, mfano hata kwenye hiyo ya huyo mhuni SABAYA, ya uhujumu uchumi inayoendelea sasa hivi huwezi kubashiri kuwa nako lazima tu atapatikana na hatia?
 
Ukiwa mwanadamu hapa duniani, hupaswi kuwa na akili za kufurahia shida za wengine, sote si wakamilifu unayecheka leo hujui kesho yako.

Pamoja na uovu anaosadikiwa kuutenda sabaya bado Mungu aweza kumsamehe na anaweza kutoka nje ya kifungo.

Wengine tunafurahia hatua hii ilihali hatujawahi hata kumuona huyo Sabaya.

Mungu awasimamie wote walio katika vifungo, na atuepushe na mkosi wa kuingia jela

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
hata hesabu hujui kweli kama taifa bado tuna safari ndefu sabaya ana 34+30=64 kwasababu gerezani tunahesabu usiku na mchana ni siku 34+15=49
Shame on u!!kama hujui kitu acha uelekezwe na nilifanya makusudi kutoa jibu hilo bila maekezo, nikajua NDEZI(kama nyie huwa mpo tu ili dunia izunguke vizuri kweny orbit yake!!dunia kote kwenye vifungo huwa kanuni inayotumika , ni kuwa mfungwa atatumikia 2/3 ya kifungo chake, na 1/3, hupunguzwa.ktk miaka 30, ukipunguza 1/3 ni miaka 10. Basi 30-10 atatumikia miaka 20 jela.
34+20=54, wewe unakuja na hesabu zako za darasa la vidudu hapa!!halafu unajiona bonge la mwana mahesabu!!
Ndio watu wengi mnalishana matango poli eti gerezani tunahesabu usiku na mchana, !!!(shame on u) hiyo ni sheria ya dunia gani?
 
hata hesabu hujui kweli kama taifa bado tuna safari ndefu sabaya ana 34+30=64 kwasababu gerezani tunahesabu usiku na mchana ni siku 34+15=49
Once more shame on u!!!!hapa sio fb, unapo kuja na povu la kumdhihaki mtu hasa kwenye hoja za kisheria/, jitahidi uwe unajua nini unachozungumzia!!!la sivyo unaonekana bonge la ndezi!!eti gerezani huesabia usiku na mchana hahaaaa!!labda huko mufindi!!lakini duniani kote kifungo anachotumikia mfungwa ni 2/3!!kuna majukwaa kibao ya kutoleana povu, mfano yale ya mipira yanga na simba!!nani ana timu nzuri, hata huna facts unaweza shinda kutokana na uwezo wako wa kubwbwaja, lakini sio huku kwenye facts.
 
Kila mfungwa aliyehukumiwa kukaa jela huwa anasamehewa 1/3 ya kifungo chake.
Kwa hiyo kwa sabaya ataondolewa miaka 10 kwa mfumo huo huo wa kupunguziwa 1/3 ya kifungo chake so basically atakaa gerezani miaka 20.


Hakuna kitu cha kuhesabu usiku na mchana.Siku ina masaa 24 vilevile kama tu uraiani.
 
hata hesabu hujui kweli kama taifa bado tuna safari ndefu sabaya ana 34+30=64 kwasababu gerezani tunahesabu usiku na mchana ni siku 34+15=49
Hapana mkuu sio usiku na mchana bali inahesabiwa theluthi mbili ya miaka aliyohukumiwa mtu.
 
Kwa maana hiyo ni kwamba theluthi mbili ya miaka 30 ni miaka 20.Hivyo basi atatoka akiwa na miaka 54.
Nyie ni wapuuzi tu hiyo miaka 30 ni jumla ya miaka katika makosa mengi aliyokuwa akituhumiwa nayo.Hii miaka yote anaitumikia kwa wakati mmoja hivyo kifungo hapo miaka mitatu tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom