Wamiliki kwani ni akina nani?Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
View attachment 3370253
View attachment 3370254
HahahaVipi siku wakikuletea sim card yenye hiyo logo? au utatumia tu eSIM?
Na hao UK ownership yake wapi?vodacom South Africa ndio wamiliki wa Vodacom TZ, na hao wa SA ownership majority ipo vodafone UK
Zipo na zitakuwepo. Shida ni matumiziMnakuza tu mambo binadamu .....
Hivi hizo rangi kabla ya hao watu hazikuwepo?
Kwahiyo wakiamua kubadili wakatumia nyeupe, basi inabidi tuiache kwasababu inatumiwa na kina coca na haszu?Zipo na zitakuwepo. Shida ni matumizi
Upo sahihi mkuu. Mfano leo waseme magari ni alama ya ushoga. Je mtu yupo tayari kutembea kwa miguu. Mambo mengine unapotezea tu. Rangi zipo miaka nenda rudi, upinde wa mvua upo enzi na enzi leo hii unahusishwa na ushogaMnakuza tu mambo binadamu .....
Hivi hizo rangi kabla ya hao watu hazikuwepo?
LGBT iko kila mahali, nchi ina rais msagaji na anapractice huo uchafu vibaya mnoo huku akijifanya mtu saafi, radio kibao zimeajiri mashoga, kuna mkoa sheikh wake mkuu alikuwa shoga kwa hiyo hayo mauchafu yamezagaaa kila nchi.Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
View attachment 3370253
View attachment 3370254
Ni ujinga ujinga tu kwakweliUpo sahihi mkuu. Mfano leo waseme magari ni alama ya ushoga. Je mtu yupo tayari kutembea kwa miguu. Mambo mengine unapotezea tu. Rangi zipo miaka nenda rudi, upinde wa mvua upo enzi na enzi leo hii unahusishwa na ushoga