Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

Muonekano wa Logo ya Vodacom wanayotumia X kuunga mkono Ushoga.

Acha usenge wa Yesu anakuja

Huo ni unyani.

Yaani una jina la *******.

Eti Yesu anakuja.

Kama Yesu ni Mungu na Mungu yuko sehemu zote, kusema Yesu anakuja ni akili au matope?

Usenge mtupu!

Jielekeze kwenye hoja badala ya .mleta hoja.
Kwanini unaattack personal badala ya hoja?
 
Eti "happy Youth Month"!! Hapo kwenye youth weka PRIDE (LGBTQ+H Community) ndiyo inayowahusu.

Hata Tigo neno YAS ni slang ya mashoga.

Ngoja tuone halotel na airtel watakuja na kitu gani cha kishoga

#MashogaWaMama
Ndiyo shida ya kuwategemea watu kwenye Teknolojia na Sayansi kwa kila kitu.
Nchi ipo kwenye kampeni ya vyama, kuwateka na kuwafunga wapinzani
 
Acha usenge wa Yesu anakuja

Huo ni unyani.

Yaani una jina la *******.

Eti Yesu anakuja.

Kama Yesu ni Mungu na Mungu yuko sehemu zote, kusema Yesu anakuja ni akili au matope?

Usenge mtupu!

Jielekeze kwenye hoja badala ya .mleta hoja.
Haya ndiyo matatizo ya kuwa mfuasi wa mtu asiyejua Kusoma na kuandika. Yesu anakuja inakuathiri nini?
Wewe una utofauti gani na mashoga? Wewe ni mwanaume lakini unatumia ID ya kike. Mwanamke hawezi kujibu huo ujinga
mnapiga mikelele kwenye mitandao ya makafiri wakati nyie mnaishi miaka ya 600AD
 
Unaropoka!
No research no right to speak.
Ongelea unayoyaweza
 
Unaropoka!
No research no right to speak.
Ongelea unayoyaweza
Acha kutumia ID ya kike wakati wewe ni mwanaume. Mwanamke hawezi kujibu uharo huo najua.
Nikisoma comment yoyote najua huyu ni mwanamke huyu ni mwanaume haijalishi ni ID gani na pia naweza kusoma tabia ya mtu kwa kuchat
 
Unaendelea kuthibitisha ujinga wako kuhusu topiki ya ujinsia wa binadamu.

Kwa kuangalia sura pekee, pasipo wasifu wa kijinsia ulioakamilika, unaweza kuthibitisha kwamba hiyo ni ID ya kike?

Your sexological literacy level is too low.

Screenshot_20250616_212805_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom