As long as haiji huku Tz sina shida nayoKampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
View attachment 3370253
View attachment 3370254
Kabisa. Ujinga tuNi ujinga ujinga tu kwakweli
Hadi kwenye Biblia upo. Sema watu wamefanya translationUpo sahihi mkuu. Mfano leo waseme magari ni alama ya ushoga. Je mtu yupo tayari kutembea kwa miguu. Mambo mengine unapotezea tu. Rangi zipo miaka nenda rudi, upinde wa mvua upo enzi na enzi leo hii unahusishwa na ushoga
Sio lazima kila kitu kikuletee ugali mezani.hiyo inatuhusu nini sisi? Watatuletea ugali mezani? Sawa tumeshamwona mzee Mwandosya pale
Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
View attachment 3370253
View attachment 3370254
Sasa kwanini mnawapa promoSio lazima kila kitu kikuletee ugali mezani.
kwa wasiojua, vodacom ni subsidiary au sijui ningesema francise ya kamnpuni kubwa sana ulaya inayoitwa vodaphone. kwahiyo imanilikiwa kwenye hisa zake na hao hao wazungu ambao ni mashoga. ushoga kwa nchi za magharibi ni kitu cha kawaida na ninadhani wao imekuwa rahisi kuuona wa kawaida kwa sababu ni watu wakweli, sio wanafiki, kwa sababu zaidi ya 80% ya wanawake wa kizungu hata hao unaona wanakuja bongo, wanaingiliwa kinyume, anal sex kwa wazungu ni kawaida, na kwa sababu wanaingia anal kwa wanawake, wanaiona ile anal ya mwanaume sio ajabu.
though ukweli ni kwamba, ushoga na usagaji ni roho kabisa ya shetani, inaweza kumuingia mtu na ikamtoka, though wanasema ikimwingia kumtoka ni ngumu kwa sababu huwa haikai mbali itammendea maisha yake yote kama vile uzinzi wa kawaida utakavyokumendea maisha yako yote ukijichanganya tu unarudi uzinzini, hata ushogani ni hivyo wanasema. ukitaka kujua ni roho ya shetani, angalia mwanamke msagaji kabla na baada, linabadilika hadi sura linakuwa litomboy fulani halijipendi wakati linaenda bleed ati. mwanaume alinyooka tu akiingiliwa hata kama bansa utakula limeanza kulegea.
zanzibar na wanawake wa pwani kuingiliwa nyuma ni jambo ambalo sisi wa bara tumekuja kulishangaa baada ya kuja mjini. wanawake wa tanzania siku hizi kuingiliwa kinyume ni kawaida, ila wakiwa nje wanalaani ushoga, huu ndio unafiki ambao wazungu hawana. hata humu kuna wanaume wengi wanakula mnayoita tigo ya wanawake, na wengine kula wanaume ila wakiwa nje wanalaani ushoga. SISEMI HIVI KIULALALISHA USHOGA au kupinga kulaani ushoga, ila hoja ni kwamba wazungu tunawaona hivyo kwa sababu ni wa kweli, sio wanafiki kama wabongo. leo hii mpemba naye ati analaani ushoga, mtu wa tanga naye analaani ushoga, mtu wa mombasa, ati mamwinyi wanalaani ushoga, ila wakiwa sirini huko wanajua wanachokifanya. ndio maana shehe mmoja alisema tuanza kukamata hadi mabasha ndio ushoga utaisha. USHOGA NI DHAMBI NA ITABAKI DHAMBI MILELE.
usipanic mkuu kuwa taratibu.KUHUSU MADAI YA USHOGA KUFUNGAMANISHWA NA NEMBO ZA KIBIASHARA: WATANZANIA TUEPUKE MIHEMUKO NA KUJIFUNZA KUFIKIRI KISAYANSI NA KIMANTIKI KILA TUNAPOONGELEA WANAUME, WANAWAKE, MASHOGA, WASAGAJI, NA MAHUNTA
Watanzania acheni uhuni wa kuchafua brandi za biashara za watu pasipo uhalali.
Neno LGBT+ Llinamaanisha LGBT plus QAISAR+.
Neno QAISAR+ linawakilisha makundi ya watu wenye NYASIFU ZA KIJINSIA yaliyoibuka baadaye.
Yaani Queers, Androgenous individuals, Straight allies, Asexuals na Reassigned individuals.
Yaani neno LGBTQAISAR+ linawakilisha NYASIFU ZA KIJINSIA (sexual identities) kumi na zaidi, wakiwemo wanawake na wanaume.
Hivyo, Kutumia neno LGBT+ ni kuhimiza swali "plus what?"
Kimantiki pia tunaweza kuongelea LGBT- neno ambalo likitumika ni kuhimiza swali mbadala, yaani "minus what?"
Bila kujibu swali hili mwongeaji anakuwa anaongelea kitu kisichoeleweka kwake na kwa hadhira yake. Nitaeleza.
Kisemantiki na kisintakisia, WASIFU WA KIJINSIA (sexual identity) ni seti inayotaja sifa zinazomtambulisha mtu ama kama mwamamume, mwanamke, hunta, au vinginevyo.
Kitakwimu, kuna NYASIFU ZA KIJINSIA kubwa mbili. Yaani wasifu wa kijinsia wa kiume na wasifu wa kijinsia wa like.
Haya makundi mawili ya watu yanaunda 98% ya watu wote duniani.
Kihistoria yamekuwepo makundi madogo yanayojiona jamii haitambui uwepo wao kwa kuwa yana NYASIFU ZA KIJINSIA ambazo sio za kiume wala za like.
Walianza Lesbians, wakafuata Gays, kisha Bisexuals, halafu Transgenders. Tukapata kifupi LGBT.
Baadaye wakaibuka Queers, Androgenous individuals, Intersexuals, Straight allies, Asexuals/Romantic, na Reassigned individuals
Kwa hiyo leo tuna kifupi LGBTQAISAR+ Zote hizi ni NYASIFU ZA KIJINSIA. Ndani yake kuna maheterofilia, mahomofilia, wanaume, wanawake, mahunta, wasagaji, mashoga, nk. Kubwa ni kwamba hizi sexual identities.
Kitaalam tunasema these are natural categories arising from Normal and Disordered Sexual Developments.
Kwa hiyo ni ujinga kusema Vidacom au Tigo wanaeneza uanaume, au wanaeneza uanauke, au wanaeneza uhunta, au wanaeneza ushoga, au wanaeneza usagaji. Hizi ni hali asilia.
Kuna tofauti kati ya hali na tabia. Wasifu wa kijinsia unajumuisha hali na tabia. Watu wana maamuzi juu ya tabia zao lakini hawana maamuzi juu ya hali zai asilia.
Na kina Voda na kina Tigo hawawezi kubadilisha hali asilia walizo nazo watu. PURE AND SIMPLE.
Lakini narudia tena. Tusisahau kuwa neno LGBTQAISAR+ ni kifupi kinachoongelea wanawake, wanaume, mashoga, wasagaji, mahunta na kuendelea.
Kwa hiyo mtu akisema LGBT+ anapaswa kutwambia ni plus what? na akisema LGBT- anapaswa kutwambia minus what?
Bila kufanya hivyo anakuwa anaongea ugolo mtupu.
Mjadala uendelee.
usipanic mkuu kuwa taratibu.
kikubwa ni lesbian and gays, inahusishwa basi ipingwe.
unachokimaanisha nimekuelewa, ila uelewe flag za pride na makundi yao ni mengi, mfano hiyo ni LGBTCQQIAA+
na + au plus inamaanisha wale watu ambao hawawazii kuhusu jinsia, mfano pansexual , hawa ndio wale wanawezs vutiwa na mtu wa jinsia yeyote kati ya hao LGBTCQQIAA
yani hata hujulikani unaongea nini, hivi wewe mwenyewe unajielewa? wewe ni shoga? au msagaji?KUHUSU MADAI YA USHOGA KUFUNGAMANISHWA NA NEMBO ZA KIBIASHARA: WATANZANIA TUEPUKE MIHEMUKO NA KUJIFUNZA KUFIKIRI KISAYANSI NA KIMANTIKI KILA TUNAPOONGELEA WANAUME, WANAWAKE, MASHOGA, WASAGAJI, NA MAHUNTA
Watanzania acheni uhuni wa kuchafua brandi za biashara za watu pasipo uhalali.
Neno LGBT+ Llinamaanisha LGBT plus QAISAR+.
Neno QAISAR+ linawakilisha makundi ya watu wenye NYASIFU ZA KIJINSIA yaliyoibuka baadaye.
Yaani Queers, Androgenous individuals, Straight allies, Asexuals na Reassigned individuals.
Yaani neno LGBTQAISAR+ linawakilisha NYASIFU ZA KIJINSIA (sexual identities) kumi na zaidi, wakiwemo wanawake na wanaume.
Hivyo, Kutumia neno LGBT+ ni kuhimiza swali "plus what?"
Kimantiki pia tunaweza kuongelea LGBT- neno ambalo likitumika ni kuhimiza swali mbadala, yaani "minus what?"
Bila kujibu swali hili mwongeaji anakuwa anaongelea kitu kisichoeleweka kwake na kwa hadhira yake. Nitaeleza.
Kisemantiki na kisintakisia, WASIFU WA KIJINSIA (sexual identity) ni seti inayotaja sifa zinazomtambulisha mtu ama kama mwamamume, mwanamke, hunta, au vinginevyo.
Kitakwimu, kuna NYASIFU ZA KIJINSIA kubwa mbili. Yaani wasifu wa kijinsia wa kiume na wasifu wa kijinsia wa like.
Haya makundi mawili ya watu yanaunda 98% ya watu wote duniani.
Kihistoria yamekuwepo makundi madogo yanayojiona jamii haitambui uwepo wao kwa kuwa yana NYASIFU ZA KIJINSIA ambazo sio za kiume wala za like.
Walianza Lesbians, wakafuata Gays, kisha Bisexuals, halafu Transgenders. Tukapata kifupi LGBT.
Baadaye wakaibuka Queers, Androgenous individuals, Intersexuals, Straight allies, Asexuals/Romantic, na Reassigned individuals
Kwa hiyo leo tuna kifupi LGBTQAISAR+ Zote hizi ni NYASIFU ZA KIJINSIA. Ndani yake kuna maheterofilia, mahomofilia, wanaume, wanawake, mahunta, wasagaji, mashoga, nk. Kubwa ni kwamba hizi sexual identities.
Kitaalam tunasema these are natural categories arising from Normal and Disordered Sexual Developments.
Kwa hiyo ni ujinga kusema Vidacom au Tigo wanaeneza uanaume, au wanaeneza uanauke, au wanaeneza uhunta, au wanaeneza ushoga, au wanaeneza usagaji. Hizi ni hali asilia.
Kuna tofauti kati ya hali na tabia. Wasifu wa kijinsia unajumuisha hali na tabia. Watu wana maamuzi juu ya tabia zao lakini hawana maamuzi juu ya hali zai asilia.
Na kina Voda na kina Tigo hawawezi kubadilisha hali asilia walizo nazo watu. PURE AND SIMPLE.
Lakini narudia tena. Tusisahau kuwa neno LGBTQAISAR+ ni kifupi kinachoongelea wanawake, wanaume, mashoga, wasagaji, mahunta na kuendelea.
Kwa hiyo mtu akisema LGBT+ anapaswa kutwambia ni plus what? na akisema LGBT- anapaswa kutwambia minus what?
Bila kufanya hivyo anakuwa anaongea ugolo mtupu.
Mjadala uendelee.
yani hata hujulikani unaongea nini, hivi wewe mwenyewe unajielewa? wewe ni shoga? au msagaji?
Kuna tofauti kati ya pride colors na upindeEti "happy Youth Month"!! Hapo kwenye youth weka PRIDE (LGBTQ+H Community) ndiyo inayowahusu.
Hata Tigo neno YAS ni slang ya mashoga.
Ngoja tuone halotel na airtel watakuja na kitu gani cha kishoga
#MashogaWaMama
nasema bendera za pride ziko nyingi kwahiyo usikalilli.Wewe ndiye unapaniki.
Mie nimeongelea LGBTQAISAR+ wewe ukajibu kwa kuongelea LGBTCCQQIAA+
Neno langi linajumuisha karibu nyasifu za kijinsia za makundi yote yaliyopo wakiwemo mahunta wanaume na wanawake.
Kama huo ndio mtazamo wa kina Tigo na kina Vidacom tatizo liko wapi?
Je, unamaanisha nini kwa neno LGBTCQQIAA+?