Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Plastic surgery addiction ili aonekane ana miaka 25
Kanizidi mwaka tu ila mmmm mimi naonekana umri unalingana na muonekano
Ila huyu kazidi kujitengeneza
Lakini hizo hospitali kiboko sio kama wale walikula za MJ
Pamoja na hayo yote anafanya mazoezi sana hasa yoga, ana dietitian wa kumshauri vyakula vya kila siku.
 
Plastic surgery addiction ili aonekane ana miaka 25
Kanizidi mwaka tu ila mmmm mimi naonekana umri unalingana na muonekano
Ila huyu kazidi kujitengeneza
Lakini hizo hospitali kiboko sio kama wale walikula za MJ
Siku hizi sio lazima plastic surgery, kuna non surgical na matokeo inaonekana ni mazuri japo wanasema sio permanent! Kama una miaka hiyo jitahidi uwe na muonekano kama wa age mate wako madonna ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ