Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

warembo wa bongo hawa wanashindia mihogo na K vant unataka wafanane na watu wanaojua maisha, mazoezi, diet, checkups etc? kimsingi hata wanaume kwenye nchi zetu hizi za dunia ya tatu tunachakaa kwa ukosefu wa chakula bora pamoja na kuendekeza ngono. Jipange maisha ni vile unavyoyaweka wewe mwenyewe tu.
 
Siku hizi sio lazima plastic surgery, kuna non surgical na matokeo inaonekana ni mazuri japo wanasema sio permanent! Kama una miaka hiyo jitahidi uwe na muonekano kama wa age mate wako madonna [emoji28][emoji28]

Kweli kabisa zipo lakini ya nini yote hayo
Naendesha baiskeli sana na pia mazoezi kiasi
Ila niko fit kwa umri wangu
Ila Madonna kazidi
Huyu ana 68 na sura inaonesha pia ila yuko vizuri
IMG_2747.jpg
 
Back
Top Bottom