Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh!shikamoo pesa!Mambo ya pesa, Madonna ana supply ya maji ya Evian kwa matumizi ya yandani ikiwemo swimming pool.
Kuzeeka ni utashi wako mwenyeweView attachment 1966039
Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
Dada maji ya Evian ndo yepi??Mambo ya pesa, Madonna ana supply ya maji ya Evian kwa matumizi ya yandani ikiwemo swimming pool.
Hata kama makeup Bado YUPO vizuri, wapi ambao hata hizo makeup hazikubali wakifikisha 50yrs tu
na 2pacAisee Prince alimfaidi sana huyo mbibi alivyokua Binti Daaaa!
Duuuh...! Ulaya ni ulaya tu. Hizi strees za tozo,mara T.R.A. mara huku. Daah...tutakufa mapemaView attachment 1966039
Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
Hongera sana mkuu!62 kasoro miezi kadhaa
Namshukuru Mungu nimefika hapa ila kwa umri ni kama jana tu
Dunia hii
Yaani nina siku 25,500
Ipi bora hapo kutamka
Sijaelewa bint yuko wapi?Wapili kutoka kulia ana miaka 64 anaitwa Anil Kapoor anayefuata kwenda kushoto ni mkwe wake ana 39/40
Anayefuata ni binti yake.
View attachment 1966046
Kama haya View attachment 1968702kitu evian
62 kasoro miezi kadhaa
Namshukuru Mungu nimefika hapa ila kwa umri ni kama jana tu
Dunia hii
Yaani nina siku 25,500
Ipi bora hapo kutamka
dah jamani muwe mnaenda taratibu ktk baadhi ya nyuzi msijesababisha tunawatukana mkatupa laana[emoji23][emoji23][emoji23]
unashangaa mambo hayaendi kumbe kuna mtu umri wa baba yako umemtukana jf matusi mazito.
hingera mkuu.