Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Siku hizi sio lazima plastic surgery, kuna non surgical na matokeo inaonekana ni mazuri japo wanasema sio permanent! Kama una miaka hiyo jitahidi uwe na muonekano kama wa age mate wako madonna 😅😅
Ila siku ya kuondoka ikifika haijali muonekano wako wala pesa inakuwa ni swafari tu kwa Sir God
 
Ila siku ya kuondoka ikifika haijali muonekano wako wala pesa inakuwa ni swafari tu kwa Sir God
Sina uhakika sana kwenye hilo, kama muonekano wa marehemu ungekuwa hauna umuhimu watu wasingekuwa wanawaogesha vizuri, wanafanyia mpaka na makeup, hata hivyo mambo hayo yanategemea zaidi na utamaduni wa wahusika!!
 
acha wapendeze niko bunju hapa asb nimechota maji sahizi nakuta chini mchanga umeganda ,najiuliza maji ya dawasa huu mchanga unatoka wapi Tena

Mkuu tena ushukuru unayo hayo maji japo yana mchanga. Kuna watu wana mabomba ya dawasa hawafahamu maji yakitoka bambani yanafananaje na kichekesho bills kila mwezi zinatumwa. Katika hali kama hii kwann usichakae ukaisha ukiwa kwenye 30s?
 
Ungeelezea kidogo hio adrenochrome ni nini na inahusiana vipi na hizo ishara?
hizo ni ishara za wale wajiitao wajenzi huru.
Nchini marekani watoto takribani 800,000 hupotea kila mwaka.
Asilimia kubwa hupelekwa kwenye maficho ya hawa watu.
adrenochrome ni kemikali inayozalishwa na kongosho.
Unaposhituka sana na kujikuta umepanda juu ya mti mrefu bila kujua, ni kwa sababu
ya kuzalishwa kwa hiyo kemikali.

Ili watoto hawa wazalishe hiyo kemikali kwenye damu zao,
HUTESWA SANA kwa kila namna.
Kisha wanagema damu yao,
halafu hawa waabudu shetani wanakunywa.
Hicho ndicho kinachowapa ujana wengi wao.
 
Du hii dunia ina mengi,na kama hizi habari zao za kuiba watoto zinajulikana kwanini hawakamatwi?
 
Du hii dunia ina mengi,na kama hizi habari zao za kuiba watoto zinajulikana kwanini hawakamatwi?
hawakamatwi kwa sababu wao ndio wanaomiliki vyombo vya habari, wamo bungeni, wamo kwenye CIA, wamo kwenye mahakama na kile eneo muhimu. Ndio maana wamefika mahali sasa wameamua kupunguza wanadamu waziwazi - japo bado wengi pia hawajui.
 
Back
Top Bottom