Muonekano wa members wa JF wakiwa FB.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Amani iwe juu yenu ndugu zanguni.
Leo nimeona nine tushee hapa jinsi mtu anavoonekana fb na muonekano wake hapa.
Kuna members humu laiti wangekujua kwamba fulani ninachat huku ndo yule wa fb nakwambia wangekuumbuwa kwa jinsi watu tunavyodanganyana hapa.

Pia kuna muonekano wa mtu humu unafikiri mtoto ukimuona fb kumbe ni mtu mzima na midevu yake. Na vile vile kuna watu humu utaona watu wazima wana ustaarabu na wengine lakini mkijuana fb ni watoto wa darasa la saba kwa hiyo huwezi Kumwelezea jinsi alivyo.

Kuna wengine humu ni wasomaji tu lakini hawajahi kuchangia wala kuanzisha sred wanakua watazamaji tu. Mimi nakutana nao fb na pia wananiambia kinachondelea huku maana mimi najifanya kama siujui huu mtandao kumbe namchora.

Na pia kuna watu humu jinsi wanavyokuwa na tabia mbovu, laiti ungemjua fb ndo huyu Wallah ungemchunia kuchat nae. Mimi nilishakutana na marafiki wengi fb wa humu humu ila wengi ni wasomaji tu.
 
Japokuwa unakutana nao huko nadhan hakuna hata mmoja aliyeweza kukutajia username anayotumia humu.

Na kama hajakudokeza ni vigum kumjua yupi mpost pumba yupi mpost point.
 
Japokuwa unakutana nao huko nadhan hakuna hata mmoja aliyeweza kukutajia username anayotumia humu.

Na kama hajakudokeza ni vigum kumjua yupi mpost pumba yupi mpost point.
Wapo nawajua na I'd zao humu na wao wananijua.
 
Na hao niliowafungulia umewajua ni nani na nani?
Wapo nawajua na I'd zao humu na wao wananijua.
ona unavojichanganya!!!!!
jifunze kuandika na ujue watu mienekano wanatofautiana kubwa jinga......
 
Hiyo ofisi iliyokuajiri uwe unaanzisha thread kila mara tugeane michongo basi
 
Na hao niliowafungulia umewajua ni nani na nani?
Wapo nawajua na I'd zao humu na wao wananijua.
ona unavojichanganya!!!!!
jifunze kuandika na ujue watu mienekano wanatofautiana kubwa jinga......
Sawa, lakini nakuuliza ni yupi humu unaemjua nimemuongelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…