Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Amani iwe juu yenu ndugu zanguni.
Leo nimeona nine tushee hapa jinsi mtu anavoonekana fb na muonekano wake hapa.
Kuna members humu laiti wangekujua kwamba fulani ninachat huku ndo yule wa fb nakwambia wangekuumbuwa kwa jinsi watu tunavyodanganyana hapa.
Pia kuna muonekano wa mtu humu unafikiri mtoto ukimuona fb kumbe ni mtu mzima na midevu yake. Na vile vile kuna watu humu utaona watu wazima wana ustaarabu na wengine lakini mkijuana fb ni watoto wa darasa la saba kwa hiyo huwezi Kumwelezea jinsi alivyo.
Kuna wengine humu ni wasomaji tu lakini hawajahi kuchangia wala kuanzisha sred wanakua watazamaji tu. Mimi nakutana nao fb na pia wananiambia kinachondelea huku maana mimi najifanya kama siujui huu mtandao kumbe namchora.
Na pia kuna watu humu jinsi wanavyokuwa na tabia mbovu, laiti ungemjua fb ndo huyu Wallah ungemchunia kuchat nae. Mimi nilishakutana na marafiki wengi fb wa humu humu ila wengi ni wasomaji tu.