Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Abunwasi tulia. Hayo mambo ya kuongea hapa kwa uwazi ni yapi? Hili siyo jukwaa kwa ajili ya siasa.
Jamani mbona mnalinajisi jamvi la adhimu la' those who dare to talk openly' kwa kutuletea vitu ambavyo havina mantiki wala maana yoyote ile???
Hebu virudisheni huko kwenye facebook/insta na mtuachie jamvi letu likiwa kama linavyostahili kuwa.
 
Sijasema kuwa hili ni jamvi la siasa. Ninavyofahamu na ndiyo wengi kilichotuvutia miaka ile ni maudhi ya jamvi hili. Kwani lilianza kama sauti ya nyikani na sasa hivi kila mtu anafahamu status yake.
 
kujibinua hakuishi!! tena bila chura ndiyo anatunisha huko nyuma!!
 
Sijasema kuwa hili ni jamvi la siasa. Ninavyofahamu na ndiyo wengi kilichotuvutia miaka ile ni maudhi ya jamvi hili. Kwani lilianza kama sauti ya nyikani na sasa hivi kila mtu anafahamu status yake.
Unapendelea taarifa zipi?
 
Akiwa na huyo muonekano au?
Yap Mkuu Muonekano huo huo.
MD.jpg
 
Jamani mbona mnalinajisi jamvi la adhimu la' those who dare to talk openly' kwa kutuletea vitu ambavyo havina mantiki wala maana yoyote ile???
Hebu virudisheni huko kwenye facebook/insta na mtuachie jamvi letu likiwa kama linavyostahili kuwa.
ombi hili ingekuwa vyema ukalipeleka kwa mods waondoe jukwaa la celebrities yabaki hayo unayoyataka.
 
Back
Top Bottom