Nakazia kwenye hii... "nyumbu kageuka twiga".
Akiwa na huyo muonekano au?Nilimuona kwenye Birthyday Party ya "MarleyDollars"
Jamani mbona mnalinajisi jamvi la adhimu la' those who dare to talk openly' kwa kutuletea vitu ambavyo havina mantiki wala maana yoyote ile???
Hebu virudisheni huko kwenye facebook/insta na mtuachie jamvi letu likiwa kama linavyostahili kuwa.
Una uhakika kiasi gani?
Sijasema kuwa hili ni jamvi la siasa. Ninavyofahamu na ndiyo wengi kilichotuvutia miaka ile ni maudhi ya jamvi hili. Kwani lilianza kama sauti ya nyikani na sasa hivi kila mtu anafahamu status yake.Abunwasi tulia. Hayo mambo ya kuongea hapa kwa uwazi ni yapi? Hili siyo jukwaa kwa ajili ya siasa.
Mmmh... ila mimi hapana
Unapendelea taarifa zipi?Sijasema kuwa hili ni jamvi la siasa. Ninavyofahamu na ndiyo wengi kilichotuvutia miaka ile ni maudhi ya jamvi hili. Kwani lilianza kama sauti ya nyikani na sasa hivi kila mtu anafahamu status yake.
Taarifa zinazoweza kukufanya ufikiri zaidiUnapendelea taarifa zipi?
Mbona zipo nyingi tu humu JF, inaonekana unapendezwa na taarifa za aina hii ndiyo maana umepata hata muda wa kuja kuona kilichopo ndani.Taarifa zinazoweza kukufanya ufikiri zaidi
Nilimuona kwenye Birthyday Party ya "MarleyDollars"
Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali - JamiiForums
Yap Jamaa ni FOGO Mpunga kama WOTE.Jamaa ana ukwasi kwa namna nilivyoona picha zake.
ombi hili ingekuwa vyema ukalipeleka kwa mods waondoe jukwaa la celebrities yabaki hayo unayoyataka.Jamani mbona mnalinajisi jamvi la adhimu la' those who dare to talk openly' kwa kutuletea vitu ambavyo havina mantiki wala maana yoyote ile???
Hebu virudisheni huko kwenye facebook/insta na mtuachie jamvi letu likiwa kama linavyostahili kuwa.