Muonekano wa mtu sio tabia

Muonekano wa mtu sio tabia

spidernyoka

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
7,557
Reaction score
20,477
Habari wanajamvi

Kwa utafiti mdogo niliofanya watu wengi wana mazoea ya kuhusisha muonekano wa mtu na baadhi ya sifa ambazo hazihusiani mfano ujasiri roho ngumu muda mwingine na ukakamavu yani ukiwa na sura ya kazi ni nongwa.

Unaweza ukadhani ukiwa na muonekano mzuri umepona lakini ukiwa na muonekano mzuri ndio nongwa zaidi ukiomba hata kazi unaambiwa ulivo ivo utaweza kwenye mitandao utasikia macomment maajabu hii kitu tuibadili muonekano sio roho.
 
Back
Top Bottom