Muonekano wa ndani wa JNIAIII, ni balaa. Hongereni wana East Africa

Nikisema ATCL halina abiria waganga wanaanza kupiga kelele huku. Sasa ndio hiyo basi, and remember this isn't a Kenyan tweet. Airbus A220 has been in parking whole year.


Ulisema maana halisi ya ATCL ni nini.? Harakisha kidogo Niko na mjarabu kesho asubuhi
 
Did you succeed in bagamoyo shit[emoji1787][emoji1787]... Gdp growth of 4%[emoji28][emoji28][emoji28]
Derailing test of cheap class 5, Turkish rail. https://tse2.mm.bing.net/th?id=OGC....JskzOCbu/giphy.gif&ehk=mkhjCzXEyTzxf+1AoMWrFw
 
Mtungi ya turkeyhttps://tse1.mm.bing.net/th?id=OGC.a5e5eab77c1291b28b9d43aeedb90e55&pid=Api&rurl=https%3a%2f%2fmedia.giphy.com%2fmedia%2f3oz8xOUyiwvMfLqc4o%2fgiphy.gif&ehk=aVFSjqj7Weenj1CXQxtkkQ
November jiandae ndio utajua kama ni hiyo au nyengine. Tunawapiga kutoka kila direction, Airport, stadium, Hospital, Electric strain, New planes, you mention any.
 
Looks like a terminal straight from the 70s.
Kwani hamna interior designers huko?

It looks like a warehouse.
Acheni ushamba nyie.

Huo ndio ujenzi wa kileo tena ulianza kama miaka 16 iliyopita, nakumbuka Walmart walipoanza ku-renovate store zao za zamani kwenye mid 2000's walijenga hayo mabanda na kilikuwa kitu cha ajabu sana ila sasa tumeshayazoea. Hata restaurants nyingi zikiboreshwa zinakuwa ni mabanda hayo, mfano chipotle na pappadeaux.
 
Wewe una kachuki flani
 
Mbona sioni cha maana hapo?
Utakiona siku ya kufa....mkataa maendeleo ni mtumwa...na wewe ni sehemu ya mtumwa kaka .....ngoja tuonge mbele kuunga mkono juhud za serikali ktk kuleta maendeleo kwa watanzania kwa ujumla wake..pole sana mkuu
 
what makes u think Turkish airlines wont do the same for JNIA?

Because Tanzania is LDC with no return for investment.

Also, out of all those lounges, you have only seen Turkish airline? Theirs is the smallest lounge at JKIA.
 
Because Tanzania is LDC with no return for investment.

Also, out of all those lounges, you have only seen Turkish airline? Theirs is the smallest lounge at JKIA.
LCD receives twice FDI than failed state, mumeshindwa hata na Uganda, kuonyesha kwamba uchumi wenu ni katika Maneno na makaratasi, hata mchina ameamua kukataa kuwapa pesa pamoja na kukubali masharti yote aliyowapa. Mtabaki kuimba LDC tu, hamna la ziada mnalotupita.
 
Tuko 2019 sifa za 2017 potelea mbali we roboti ya sisiem let's data yenyu ya 2019 wachana na zamani za kale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]https://www.google.com/url?sa=t&sou...ARAB&usg=AOvVaw1e49wvmfWAc9dQczg6-UX9&ampcf=1
 
Nyingine hapa mauzo korosho yanapumulia kwa mashine,alafu we uko hapa kusifia ccm na jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]roboti za ccm vichwa mavi......jiwe anafikiria kufanya biashara ni kama kurun bedroom yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ldc vituko https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAAegQIBxAB&usg=AOvVaw1MqSQztG78zuVapcX57PnF
 
Wakenya bwana Kikikikik, yaani mmekurupuka huko na picha zenu, let me tell you one thing kilichoonywesha hapo ni general pictures za jengo tu, na ndio ilikuwa kazi ya bam international,wameshakabidhi,kwny sehemu zote za biashara wameacha vyumba vitupu kabisa kinachoelendelea sasa ni mchakato wa kuipata kampuni ya kudesign na kujenga hayo maswala hayo ya interior décor na ndio maana kwny hizi picha huezi ona migahawa,huwezi kuona lounge zipo nyingi tu kwa ajili ya mashirika ya ndege kukodisha maana wengine huwa wanapenda kuwa na lounge zao... Kuna salon kadhaa sehemu ya kucheza watoto na kadhalika na kadhalika....
Na hii ndo sababu ya hili jengo kuchelewa kuanza kutumika....kwani huwezi kumuweka mtu humu ndani bila sehemu ya kula na huduma nyingine muhimu
Nawashauri viongozi wangu msi rush kwny hili tutafute kampuni yenye uzoefu kutudizainia kitu maridhawa na pia tutembee kuona tusije tukaona ng'ombe tukajua ndo mnyama mkubwa kabisa duniani kumbe kuna tembo, twiga na kadhalika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…