Muonekano wa ndani wa JNIAIII, ni balaa. Hongereni wana East Africa

Lakini ndiye anayepokea FDI Mara mbili zaidi yenu, mnalojua ni ukabila na rushwa pekee. Muda wote ni kuzungumza siasa za ukabila, miradi yote ya maendeleo imeshindikina.
 
Lakini ndiye anayepokea FDI Mara mbili zaidi yenu, mnalojua ni ukabila na rushwa pekee. Muda wote ni kuzungumza siasa za ukabila, miradi yote ya maendeleo imeshindikina.
Mara mbili?Please leta data ya 2019 wacha porojo nimekuambia nyimbo za 2017 uache tuko 2019 incase you didn't know Mugabe was still the president,Bashir was still the president of Sudan etc ***** fdi ya Kenya ndio hii hapa 2019 $1.6bn na next year it's double to $3bnhttps://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.businessdailyafrica.com...ARAB&usg=AOvVaw1e49wvmfWAc9dQczg6-UX9&ampcf=1
 
Hahahahaha, akili yako imejaa ukabila, lete wewe data za 2019, kama hutoficha USO wako, nani aje kuwekeza katika nchi iliyojaa rushwa, terrorism, crime, hunger, poverty and unemployment?.
Data nishaa weka hapo ya 2018 wacha upuuzi $1.6bn please leta yenyu ya 2018 wacha kupayuka tu na mdomo keep in yenyu ilikuwa $1.2bn 2017[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Still quoting old, inaccurate news from some shady organizations.
Enda usome ripoti ya last week kutoka UNCTAD. Kenya ndio baba yao.


Alafu, even if Kenya received zero and Tanzania continued to receive the same, you would need like 20 years to reach where we are.
 
Haju 2017 Mugabe alikua president,Bashir president wa Sudan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]analeta hadithi za kale
 
To reach where?
1) To have unemployment of 48%?
2)To have population below poverty line of 42%?
3) To have 90% of roads unpaved
4) To have 69% Debts to GDP ratio?
5) To have our people dying because of hunger?
6) To have big number of slums?
7) To 62% of GDP in the pockets of only 10,000 people.
8) To be top among countries with high level of crime?
9) To be a terrorist country?
10) To be a failed state?
 
Haju 2017 Mugabe alikua president,Bashir president wa Sudan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]analeta hadithi za kale
Hata zikiketwa data za 2029, mtabaki kukimbiza mkia, hakuna mtu atakuja kuwekeza katika nchi ambayo watu wanakufa kwa njaa.
 
[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ebu rudia hizo setensi bila kulia sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina maana propaganda za fdi zimepiga ukuta sasa unakuja na zingine?
Kenya 2018 fdi $1.6b
Tanzania 2018 fdi $1.1bn,
Korosho baada ya usanii mkapoteza revenue by 60% ivi jiwe alisome chuo gani[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata zikiketwa data za 2029, mtabaki kukimbiza mkia, hakuna mtu atakuja kuwekeza katika nchi ambayo watu wanakufa kwa njaa.
Kulingana na sisiem uko sahihi,la kwa uhalisia level yenyu sasa Burundi juu ata Rwanda sioni mkiwafikia anytime soon yie wazembe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
May be it's a reality
 
Kazi nzuri. Natamani sana kuona mabadiliko kwenye maeneo yanayozunguka uwanja. Wakati wa kutua kutokea upande wa baharini mazingira ni mazuri. Nyumba zimepangika. Mapaa hayana kutu. Ukitua kutoka upande wa mgharibi halli ni mbaya . Ujenzi wa holela na mapaa yenye kutu sana.
 
Shida wakikabidhiwa litadumu kwa usafi wa standard hiyo kwa muda gani? Huo ndio mtihani.
Kuna vitu kama vitatu ndio nakuwa na wasiwasi japo naomba visitokee.1- siku ya kufungua rasmi hii Terminal tusitumie kisiasa unaweza kusikia serikali ya JPM imefanya.. maana tulikuwa zamani tunatumia serikali ya awamu.. au ya chama fulani ila siku hizi unasikia serikali ya Juma hapo tunakosea sana maana huu ni mradi wa siku nyingi na ni wa Tanzania. 2- Kitu kipya kizuri tatizo kukitunza ni gharama na mara nyingi ndiko tunakosea sana hata katika nyumba zetu tunashindwa, ni lazima kuwe na kampuni private kuhakikisha taa ikiungua tu inabadilishwa sijui choo maji hayatoki lazima yatoke maana kitu kinatumiwa na kila mtu lazima kutakuwa na uharibifu lakini lazima kitunzwe kwa gharama. 3- Hili la msingi pia "huduma" unaweza kwenda Airport ya kawaida tu lakini mtu akatokea kuipenda kwa huduma yaani customer care tuwazidi wenzetu wote tufundishe watu watakao kuwa watumishi hapo kazi yao kubwa japo kufuata utaratibu lakini kubwa mteja ni abiria na apewe msaada hata akiwa amekosea na kufanya process ya kuondoka na kuingia 5 star service kufanya mambo rahisi kwa watu bila kudharau security.
 

Je, umeshafika KIA baada ya ukarabati mkubwa uliofanyika? kule mambo ni mswano tu na nina hakika hata T3 Itakua hivyo pia hivyo ndivyo hata T2 napo baada ya kukarabatiwa kutakuwa mswano pia kuanzia huduma hadi maintenance yake...

Hii seriali imedhamiria Kufanya mambo makubwa...
 
Tunaomba iwe hivyo maana mwisho wa siku hii ni airport yetu kwa kizazi cha leo na hapo baadae na ni matumaini yangu makubwa na hapa sitaki kupiga siasa tukishaanza kusema serikali hii inapotosha ni mipango ya serikali zote na hasa mchakato ulianza serikali iliyopita ni lazima tuwape sifa zao pia wale walioanzisha mipango hii na tuisifu serikali hii kulichukulia kwa uzito na hao watakao kuja watunze waliyoanzisha wenzao maana ni mali ya taifa. Airport ni kama sura ya nchi utakacho kiona hapo inakupa taswira ya watu wake ikiwa chafu basi ujuwe huko mjini ndio kabisa. tuitunze hii mali yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…