Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

Baraka21

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,262
Reaction score
3,184
IMG_20211015_211702_219.JPG
 
34+30=64.

Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
 
34+30=64.

Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
Ni 34+15=49...

Hapo bado msamaha wa rais, huenda akakaa 5 tuu kisha akatoka akiwa na miaka 39, akiwa kijana kabisa[emoji23]
 
Duh, hapa umetisha! Sikufikiria itakuwa picha yenye vielekezi vyote kiasi hiki.

Na hapo itabidi ndiyo achumbie. Siku ya arusi yake, utasikia sauti za wapambe, 'Babu kapata mwana, mwana kapata babu, vigelegele'
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom