Ni 34+20=5434+30=64.
Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
Ni 34+15=49...34+30=64.
Makonda, Ali Hapi, Mzee wa Gwambina na wezi wezi wote mjiandae.
Sio hivyo ni 34+20=54, kesi yake haina msamaha wa rais.Ni 34+15=49...
Hapo bado msamaha wa rais, huenda akakaa 5 tuu kisha akatoka akiwa na miaka 39, akiwa kijana kabisa[emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji4]
Ana case nyingine inaendelea jumatatuAtatoka 2041
Haya ngoja tuoneAtavaa suti tena.
Na muonekano wa mbowe atakuwaje
Duh, hapa umetisha! Sikufikiria itakuwa picha yenye vielekezi vyote kiasi hiki.