PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kweli huyu jamaa anajua Sana!Namkubali sana huyu jamaa
Mkuu huyo jamaa bado kinda umri wake huuCkuwahi kuzania,,, Mi nilijua age imeenda Sanaa kumbe young kabisa duh!!! Kweli weupe '' weupe tu,,,,,,.........
Zipo mkuu jamaa yuko vizuri habahatishiHiv Nje ya muv hiyo ni ipi tena alishawai kushiriki?
isije ikawa alibaatisha tu.
Kweli mkuu kama sijakosea kuna move ya Yesu Mel Gibson ametia mkono wake ebwana ni balaa!Huwa nazikubali sana kazi za Mel Gibson.Ambapo kwenye hiyo kitu alikuwa ni Producer na ni Director,lakini pia ni written by him.
FUNDIJaguar paw
Kweli mkuu,balaa lingine akalifanya hapa.Kweli mkuu kama sijakosea kuna move ya Yesu Mel Gibson ametia mkono wake ebwana ni balaa!
Zipo nyingi,nyingine hizi hapa kwa uchache.Hiv Nje ya muv hiyo ni ipi tena alishawai kushiriki?
isije ikawa alibaatisha tu.
nakumbuka jinsi vichwa vilipo kuwa vinakatwa ndani ya hio muvi,dah!it is a mess!Jaguar paw
yeah,iliishia pale Conquistadors wa Kihispaniola walipotia nanga ktk Fukwe za Bahari!Ile picha haikuendelea maana inaishia anakuja kumuokoa Mke wake
Moyo umeshindwa kuvumilia jaman daaah si kwa uhandsome huu