Muonekano wa Rudy youngblood wa APOCALYPTO awapo kazini na mazingira ya kawaida!

Muonekano wa Rudy youngblood wa APOCALYPTO awapo kazini na mazingira ya kawaida!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
1473182307690.jpg
1473182326691.jpg
1473182333112.jpg
 
Wenzetu wapo vizuri na serious katika movie
 
Ckuwahi kuzania,,, Mi nilijua age imeenda Sanaa kumbe young kabisa duh!!! Kweli weupe '' weupe tu,,,,,,.........
 
Huwa nazikubali sana kazi za Mel Gibson.Ambapo kwenye hiyo kitu alikuwa ni Producer na ni Director,lakini pia ni written by him.
images
 
Hiv Nje ya muv hiyo ni ipi tena alishawai kushiriki?
isije ikawa alibaatisha tu.
 
Huwa nazikubali sana kazi za Mel Gibson.Ambapo kwenye hiyo kitu alikuwa ni Producer na ni Director,lakini pia ni written by him.
images
Kweli mkuu kama sijakosea kuna move ya Yesu Mel Gibson ametia mkono wake ebwana ni balaa!
 
Back
Top Bottom