Muonekano wa SGR ya Tanzania

Bado itatumia kuni???maanake hamna tofauti kabisa na zile zenu za kitambo
 
Heheeee!!!una test engine ya probox kw lambo..huoni huo ni wehu tu[emoji1787][emoji1787]
 
Kasi ya utekelezaji ya serikali inyoongozwa na mwamba JPM ni ya ajabu, baada ya 10 years inji hii itakuwa pazuri sana...

Hali inazidi kupendeza, ujenzi umefikia 56%,. Ikumbukwe kwamba train hii ni sawa na kusafiri kwa ndege, hakuna kutikisika na inajengwa kwa pesa za watanzania. Karibuni sana majirani kuja kujifunza.
 
Heheeee!!!una test engine ya probox kw lambo..huoni huo ni wehu tu[emoji1787][emoji1787]
Mwehu anayetaka contractor anunue treni inayofanana na ile ya kila mteja anayejengewa reli. Yeye ana kichwa/vichwa vyake anavyovitumia wakati wa ujenzi. Hiyo ni engineering test. Kwenye real testing and commissioning ndiyo tuulize ikiwa hazitatumika treni halisi. Kuna vichwa ni vigumu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…