Muonekano wa SGR ya Tanzania

Hali inazidi kupendeza, ujenzi umefikia 56%,. Ikumbukwe kwamba train hii ni sawa na kusafiri kwa ndege, hakuna kutikisika na inajengwa kwa pesa za watanzania. Karibuni sana majirani kuja kujifunza.
Uongo mtupu ,Tanzania haina pesa kama hizo za kujenga na kuikamilisha reli hii ya SGR had Morogoro.
 
Sio vichwa vigumu ni Vilaza
 
Hali inazidi kupendeza, ujenzi umefikia 56%,. Ikumbukwe kwamba train hii ni sawa na kusafiri kwa ndege, hakuna kutikisika na inajengwa kwa pesa za watanzania. Karibuni sana majirani kuja kujifunza.
Wataanza kuja magavana watafuata masenator 😁
 
Lakini wabongo wanamambo. LOL!!! So you are using a locomotive to test rails for a bullet train!?
 
Hii ni hatau nzuri sana kwa mradi huu ila kwa namna unavyoenda sidhani kama utakamilika December kama wanavyosema.

Ile Station ya Dar umefika wapi? Ya Morogoro nayo vipi? Walio jikoni mtujuze tafadhali.
 
Lakini wabongo wanamambo. LOL!!! So you are using a locomotive to test rails for a bullet train!?
Lazima kitu chochote kwenye ujenzi kabla hakijawa commissioned kipitie hizi hatua, hata rail yenu ilipita huku, tofauti tu ni kwamba testing equipment zilizotumika ndio hizo mpaka leo zinatumika baada ya commission.
 
yana mavichwa magumu kama train zao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwhyo hao yerpi kule kwao wali test reli yao na hicho kichwa...au ilkuwa unamaanisha nn engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lkn tunaweza kuwekeza more than billion dollar katika elimu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukapimwe Akili
unazani Tanzania ni Kenya
uchumi wa kwenye makaratasi hamuwezi jenga hata 1km Kwa pesa yenu
pole sana
 
Ukapimwe Akili
unazani Tanzania ni Kenya
uchumi wa kwenye makaratasi hamuwezi jenga hata 1km Kwa pesa yenu
pole sana
Unazani ndio nini sasa? Uchumi wetu sio wa LDC na treni/reli zetu zimekamilika nusu zamani kumaanisha Kenya ina fedha na uwezo mkubwa.Nyie ndio wenye bajeti nusu yetu.
 
Mlitaka tuwa tag ilivyojengwa sentimita 1. Sasa ona majaribio. Itafika Mwanza mtaongea hivyo hivyo.
Hahaha ,majaribio gani si hiyo SGR treni yenu ilipata derailment tuliona picha za imelala fofofo kando ya reli mpya? Ama unataka nilite picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…