Muonekano wa taa mpya zinazofanya kazi Kituo cha NaneNane mkoani Mbeya

Muonekano wa taa mpya zinazofanya kazi Kituo cha NaneNane mkoani Mbeya

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2026-03-31 at 21.36.10.jpeg

Baada ya malalamiko kadhaa ya Wananchi kuhusu Stendi ya Nane Nane Mkoani Mbeya kuwa na changamoto ya kuwa na kiza wakati wa usiku kutokana na Taa kutofanya kazi, kwa sasa kituo hicho kina taa mpya ambazo zinafanya kazi.

Hoja ya awali hii hapa ~ Stendi ya NaneNane – Mbeya taa haziwaki usiku, tunalazimika kutumia tochi za simu

WhatsApp Image 2026-03-31 at 19.25.38.jpeg

WhatsApp Image 2026-03-31 at 21.36.08.jpeg
WhatsApp Image 2026-03-31 at 21.36.07.jpeg

Pia Soma ~ Kituo cha Mabasi Nanenane - Mbeya kutokuwa na Taa zinazowaka Usiku ni kero kubwa kwa Watumiaji
 
Hamna stendi tena, ishajifia. WATANZANIA tuna shida mno.
 
Back
Top Bottom