Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaala mkuu kama ndio wewe vyuma vimekaza sana mtaani vijana tunakomaa ila hela hakuna na Sera yako inasema hapa kazi tu mkuu jaribu kutembea mitaani huone hali ilivyo nakuomba sana
Hii picha kila nikiiangalia nacheka.Picha yangu halisi!View attachment 999323
Hii picha kila nikiiangalia nacheka.
Asante babe..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Lazima nikutaje. Umenivutiaa[emoji119][emoji119][emoji119]
Rafiki sisi tunaowapenda sana Baba zetu tunacomment wapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Asante babe..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Halafu rafiki huu Uzi nimekumbuka unafanana na ule ulionisaidia kutupia kapichaRafiki sisi tunaowapenda sana Baba zetu tunacomment wapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Yaani kama kavimba anataka apasuke! Hahaha!Mkuu ni mimi huyo usinicheke bwashee!
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji39]Halafu rafiki huu Uzi nimekumbuka unafanana na ule ulionisaidia kutupia kapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you very much...copy yangu imekuja[emoji6][emoji6][emoji6][emoji39] View attachment 999406
Jicho kodo rafiki!
Nimeazima brah na gagulo zako babe....[emoji23] [emoji23]
Asante kwa kunitoa tongo tongo chief....Mkuu avatar yako inakunyima vingi vitamu,believe me!