bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,097
Leo nilikuwa kanisani naongoza kwaya. Tulikuwa tukiimba wimbo wa ("mwili wangu ni hekalu la roho mtakatifu *2
mwili wangu ni makao ya yesu") kwa bahati mbaya ukaniponyoka ushuzi. Ushuzi ulikuwa unanuka sana hali iliyopelekea nishike pua kwa mkono mmoja huku mwingine nikiendelea kuongoza. Mchungaji huku anashika pua akawa analalamika "mtumishi, kweli mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu ...? hiyo harufu umekula mzoga au nini ...??