Muongozo biashara ya kuuza magari used

Muongozo biashara ya kuuza magari used

Yule mzee hajastaafu nilisali nae TAG kipindi sijarudi kwenye ukatoliki wangu, alikua anakaa mitaa ya muungano kwenye mataa pale chato
Ooo sawa.
Hapo ndo kwake kwenye mji wake.
 
Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko.
 
Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko.
Nahic hivyo mkuu,
Ngoja niendlee kuumiza kichwa,
Asante.
 
Back
Top Bottom