amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Oct 5, 2022 #21 chotera said: Yule mzee hajastaafu nilisali nae TAG kipindi sijarudi kwenye ukatoliki wangu, alikua anakaa mitaa ya muungano kwenye mataa pale chato Click to expand... Ooo sawa. Hapo ndo kwake kwenye mji wake.
chotera said: Yule mzee hajastaafu nilisali nae TAG kipindi sijarudi kwenye ukatoliki wangu, alikua anakaa mitaa ya muungano kwenye mataa pale chato Click to expand... Ooo sawa. Hapo ndo kwake kwenye mji wake.
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Oct 5, 2022 #22 Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko.
Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko.
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Oct 5, 2022 Thread starter #23 saile thinker said: Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko. Click to expand... Nahic hivyo mkuu, Ngoja niendlee kuumiza kichwa, Asante.
saile thinker said: Hiyo biashara ungekua mjini au kwenye majiji gari za huko kwenye miji midogo waga zimechoka sana pia hata wanunuzi ni ngumu kufuata gari huko. Click to expand... Nahic hivyo mkuu, Ngoja niendlee kuumiza kichwa, Asante.