Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 23, 2024 #1 naombeni muongozo wakuu
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 23, 2024 #2 Lesotho kwa yule mfalme au Lushoto ?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 23, 2024 Thread starter #3 Mamndenyi said: Lesotho kwa yule mfalme au Lushoto ? Click to expand... mkuu ni kwa yule mfalme
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 23, 2024 #4 you mean tanga lushoto..?
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 May 23, 2024 #5 Hakuna muongozo zaidi ya kuandaa Lobola ambayo ni kama "mahari" Wasichana ni wazuri kama wazulu au Xhosa wa SA Mahari angalau change milioni 5 iwe kwenye dollar nenda kachukue Mali tuchanganye dam
Hakuna muongozo zaidi ya kuandaa Lobola ambayo ni kama "mahari" Wasichana ni wazuri kama wazulu au Xhosa wa SA Mahari angalau change milioni 5 iwe kwenye dollar nenda kachukue Mali tuchanganye dam
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 23, 2024 Thread starter #6 fundi bishoo said: you mean tanga lushoto..? Click to expand... Lesotho mkuu, ile nchi ipo ndani ya south afrika
fundi bishoo said: you mean tanga lushoto..? Click to expand... Lesotho mkuu, ile nchi ipo ndani ya south afrika
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 23, 2024 Thread starter #7 yeyote aliyefika huko ili nijue jinsi ya kusafiri kwenda huko please
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 11,993 Reaction score 9,212 May 23, 2024 #8 Huyo unayetaka kumuoa ndiye atakayekupa muongozo kulingana na mila na desturi zao.
S saimon rusana Member Joined Mar 15, 2024 Posts 28 Reaction score 98 May 24, 2024 #9 na vipi kuhusu Zambia ? nipeni muongozo nikachukue mtongaa