Ndio mkuu kwa sababu nilishashudia kwa macho yangu zaidi ya gari moja likitokea hilo swala kwa maana km zilirudishwa nyuma ila baada ya kutembea zika skip into original kilometres mkuu.Una amini ktkt digital???
Kaka magari ya kisasa mengi ni digital na ndo hizo wanazochezea kwa sasa!!Labda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.
Labda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.
Sijabisha kama hawachezei ila mwisho wa siku hata wakichezea inatokea kama nilivyoeleza kwa komenti zangu hapo juu.Kaka magari ya kisasa mengi ni digital na ndo hizo wanazochezea kwa sasa!!
Wengi ni waongo!!hapo dawa yake mwambie akuoneshe doc za gari alizopewa toka huko alipoagiza,akikunyima achana nae.Unalolisema ni kweli kabisa. Wabongo sio waaminifu kabisa. Unakuta mtu anakwambia anauza gari yake, alilinua toka Japan likiwa used miaka zaidi ya mitano iliyopita, lakini leo anapotaka kuliuza anasema limetembea Km chini ya laki moja!!
SawaHakuna kitu kama hicho
Ok!ntafuatilia hiliSijabisha kama hawachezei ila mwisho wa siku hata wakichezea inatokea kama nilivyoeleza kwa komenti zangu hapo juu.
Huwajui watu wewe mkuuLabda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.
Aisee yadi nako ndo majanga mengine,kuna ambao sio waaminifu wanafanyaga hyo michezo!Wadau vipi na hili la watu WA show room, kubadilisha piston za gari kabla ya kuliuza? Jamaa yangu alifanyiwa hivyo mpk ikamlazimu kufunga piston mpya OG ndio gari ikatulia.
Kabla hujanunua gari iliotumiwa kwanza ulizia kadi ya inspection, kama hana hio muulize fundi wake wa gari yupo wapi. Akikwambia alipo ichukuwe gari na mpelekee huyo fundi na muulize mara ya mwisho alichange oil ikiwa na mileage gapi. Utakapo ipeleka hakikisha mmiliki na fundi huwapi muda wa kuongea na wala usiulize maswali mbele ya mmiliki
Samahani nauliza taratibu za kuuziana gari zikoje Kama umenunua kwa mtuBado wapo binadamu waaminifu sana duniani. Nimenunua Brevis wiki mbili zimepita, jamaa aliyeniuzia akanambia niikague na kunipa wiki ya kuitumia na kwamba nikikuta ina tatizo la kiufundi nimrudishie. Gari hizi ni tamu balaa, they are eye catching luxury cars.
Cha kwanza kabisa ni kadi ya gari na pia kabla ya kununua nenda ofisi za TRA kupata details za gari kama mmiliki wa gari hiyo ni halali pia utajua kama gari ni ya wizi au la.Samahani nauliza taratibu za kuuziana gari zikoje Kama umenunua kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuagiza unaweza ila ikifika bongo utawajua TRA ni kina naniSorry kama nitakuwa nje ya mada, endapo nikiwa na 4M ninaweza kuagiza Vitz Japan? Au itabidi ninunue tu used za hapa TZ?