MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Sina uhakika zaidi ila kama unapenda mziki mnene kwenye gari yako gharama ipo very reasonable:
Siku hizi kuna wahind na waarabu wanao pangwa mzee wanajifanya ndo wenye magari halafu kwenye kadi unaona jina tuntufye mwakalebela ukiwauliza wanakujibu eti gari alimnunulia na lilisajiliwa kwa jina la msimamizi wa biashara zake kwa sababu alilenga ndio alitumie lakini baadae akaona alitumie mwenyewe kwani alilipenda hivyo huyo msimamizi akampa lingine. hii ndio bongo bwana.
 

Jami forum sio kubwa kiivo ila waafrika wana matatizo kwenye madaraka ..eg waone groups admins wa kiafrica tabia zao fananisha na viongozi wa shule viranja compare na hawa wa jamii forum sijui ni ushamba sielewagi hata tatizo ni nn
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dah
 
Ninapenda kujua kuhusu ushuru wa tra kwa gari linaloagizwa. Unakuta CIF waliyotumia kwenye calculator yao ni ndogo kuliko ile nayonunulia, vp wataongeza ushuru kuendana na bei halisi au ndo faida kwangu?

Halafu hizi gari mpya zinapokuja zinakuwa "ready for drive" i.e oil, tairi, battery?
 
Hapo subiri bei watakayokupa wao. Gari ikija inabidi uifanyie service na mi vizuri ubadilishe matairi. Battery mbovu haijifichi.
 
Nahitaji kununua gari dogo la mizunguko ya kawaida na safari za mara chache kwenda mkoani! Bajeti ya 7mil to 12mil. Shida sijui nianzie wapi kwani magari siyajui na pia hata kuendesha kwenyewe bado sijajifunza. Anayejua gari nzuri zisizo na shida wala gharama kubwa ya kumanage!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa hatua nzuri!

Labda nikulize haya machache
1.Ni watu wangapi utakua unapakia mara kwa mara kwenye gari yako.
2.Hali ya barabara ya ulipo ni ya namna gani.
3.Umbali wa maeneo ambayo huwa unafanyia mizunguko mara kwa mara
 
Hongera kwa hatua nzuri!

Labda nikulize haya machache
1.Ni watu wangapi utakua unapakia mara kwa mara kwenye gari yako.
2.Hali ya barabara ya ulipo ni ya namna gani.
3.Umbali wa maeneo ambayo huwa unafanyia mizunguko mara kwa mara
Asante!
1. Idadi ya watu ni wa 2 au m1
2. njia almost ni lami
3. Umbali kwa makadilio nikm 15 to 20km



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo gani maana TRA wapo sehemu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…