MUONGOZO WA KISHERIA

MUONGOZO WA KISHERIA

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
625
Reaction score
506
Waungwana,naomba muongozo wa kisheria. Mitaani katika jiji la Dar kuna operesheni za usafi wa mazingira nyumba kwa nyumba. Kuna msafara wa askari wengi wakishirikiana na SUMA JKT wanapita kwenye nyumba za watu wanaingia kukagua ukumbini,vyooni na imeripotiwa baadhi ya nyumba wameingia had vyumbani wakikuta hata kitanda hujatandika au wakakuta ukumbi au chooni kuchafu au wamekuta mazingira yalokuzunguka ni machafu basi unakamatwa unawekwa ndani hadi ulipe 50'000/= kama faini.

Swali langu kisheria,je askari hao wana mamlaka ya kuingia ndani ya nyumba yangu kunikaguwa bila ya kibali cha mahakama au ofisa wa polisi? Iwapo hawana mamlaka ni kitu gani natakiwa kufanya ili kutetea na kulinda haki yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee... mpaka vyumbani????

That's trespass.

cc Malcom Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaa eeeh ??
Hata kama nina kosa lazima waje na Warranty inayoruhusu wanipekue.
Sasa huu ni uingiliaji uliokubuhu. Sijui huu ujasiri wanaotuoaga wapi hawa jamaa.
Hivi mkuu umeiosoma Paper ya T.LISSU inayozungumzia Tort and Environment ???
 
Hadi vyumbani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni sahihi.

Nadhani kuna by-laws za eneo husika zinazoruhusu ukaguzi wa mazingira.

Lakini kama ukaguzi huo unakiuka mipaka, NI TATIZO.

INGEKUWA NI MASWALA YA UHALIFU, TUNGEWEZA KUSEMA KWAMBA PANAHITAJIKA WARRANT YA KUFANYA UKAGUZI.

Bahati mbaya sifahamu hizo by-laws zinasemaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Waungwana,naomba muongozo wa kisheria. Mitaani katika jiji la Dar kuna operesheni za usafi wa mazingira nyumba kwa nyumba. Kuna msafara wa askari wengi wakishirikiana na SUMA JKT wanapita kwenye nyumba za watu wanaingia kukagua ukumbini,vyooni na imeripotiwa baadhi ya nyumba wameingia had vyumbani wakikuta hata kitanda hujatandika au wakakuta ukumbi au chooni kuchafu au wamekuta mazingira yalokuzunguka ni machafu basi unakamatwa unawekwa ndani hadi ulipe 50'000/= kama faini.

Swali langu kisheria,je askari hao wana mamlaka ya kuingia ndani ya nyumba yangu kunikaguwa bila ya kibali cha mahakama au ofisa wa polisi? Iwapo hawana mamlaka ni kitu gani natakiwa kufanya ili kutetea na kulinda haki yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
This should be trespass AB INITIO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom