Muongozo wa kuanzisha hospitali au kituo cha Afya

Muongozo wa kuanzisha hospitali au kituo cha Afya

Mganga mkuu wa wilaya husika atakueleza kila kitu bila ubabaishaji kwa sababu yeye ndie msimamizi wa huduma zote za afya kiwilaya.
 
Mkuu kuanzisha hospital inahitaji gharama kubwa sana!! jengo pekee litagharimu zaidi ya million 400...mi nakushauri anzisha dispensary au health centre hizi hazihitaji gharama kubwa sana
 
Back
Top Bottom