HABARI WADAU,
Hususan viongozi, wanachama, wapenzi na mashabiki wa timu ya yanga na wapenda michezo kwajumla. Sisi tunakusudia kuanzisha tawi la yanga hapa maeneo yetu ila naomba anayejua taratibu za kufuatwa ili tawi litambulike na mambo mengi mengine kama uzoefu, sheria, taratibu na haki za msingi za tawi atujuze.
Asanteni.