Muongozo wa kufuta namba moja ya NIDA, nina vitambulisho viwili

Muongozo wa kufuta namba moja ya NIDA, nina vitambulisho viwili

Palac

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2025
Posts
3,775
Reaction score
10,094
Habari Wana jF nipo hapa nahitaji msaada na muongozo kwa anaefahamu nilijiandikisha NIDA ila kwa kipindi naandikisha nilifatilia nikawa napigwa kalenda ila baada ya kuhama mkoa nikajiandikisha tena upya na no nikapata pamoja na kitambulisho.

SASA nimerudish mkoani kwangu napewa kitambulisho cha Ile namba ya awali nilijiandikisha mwanzo kabisa hii imeniletea shida Sana.

Hadi sasa Nina vitambulisho viwili vya NIDA nahitaji kufuta namba moja Kati ya hizi naomba nipewe muongozo shukran
 
nilizunguka sana kwenye korido za office zao mwisho nilicholenga kikapotea nikastop
 
Kimoja si ukipigilie ghetto na utumie kimoja?

Huwezi jua huko mbeleni, yawezekana nchi ikauzwa, kwenye mgao wewe ukapata mara mbili.
 
Back
Top Bottom