Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Habari kuna mtu anasema hii ni sawa na gen ya 9 ??? Core i5 kuna ukweli hapa [mention]Chief-Mkwawa [/mention]
 

Attachments

  • IMG_7522.jpg
    92.2 KB · Views: 62
boss kama hii vipi na naweza kuipata kwa ngapi?
 
Ila najiulizaga jambo moja, hivi 1gb hiyo ya kwako na 4gb ya onboard zile za intel, ipi inafanya kaz vizuri
Mkuu gpu ya nnje uwa iko na nguv zaidi hata ya izo za ndani tena km Intel lbd Gen ya 8 kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…