Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nahitaji msaada wenu wakuu....nna laptop HP probook 440 g4 nikitumia bila AC yaan ikipata joto kidogo tu inazima ghafla bila error yeyote. Nimefanya maintenance kwenye vent hakuna vumbi wala obstruction yeyote, fan inazunguka, heat paste nimebadili, all updates nmefanya mpaka kwenye bios na pia matumizi yangu ni ya kawaida(MS Office, surf internet tena natumia edge browser) sina app inatia uzito na pia nimeilimit kutumia only one processor. Ikiwa kwenye AC au ubaridi inafanya kazi vizur kabisa na speed yake ipo vizuri kabisa
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
View attachment 2052063
 
Attachments

  • 20211221_082613.jpg
    20211221_082613.jpg
    99.4 KB · Views: 21
Nahitaji msaada wenu wakuu....nna laptop HP probook 440 g4 nikitumia bila AC yaan ikipata joto kidogo tu inazima ghafla bila error yeyote. Nimefanya maintenance kwenye vent hakuna vumbi wala obstruction yeyote, fan inazunguka, heat paste nimebadili, all updates nmefanya mpaka kwenye bios na pia matumizi yangu ni ya kawaida(MS Office, surf internet tena natumia edge browser) sina app inatia uzito na pia nimeilimit kutumia only one processor. Ikiwa kwenye AC au ubaridi inafanya kazi vizur kabisa na speed yake ipo vizuri kabisa
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
View attachment 2052063
Eka program yoyote ya kuangalia joto la cpu, kama joto ni kubwa pengine cooler ya cpu haigusani na sehemu ya cpu vizuri hivyo joto halisafirishwi toka kwenye cpu.
 
Program kama ipi chief maana nilijaribu speedfan joto lilikuwa kawaida kabisa ila still inajizima
 
Joto kawaida kipindi inazima ama wakati unaangalia? Vyema upate exactly data kipindi inazima joto lilikuwa kiasi gani (log file litaandikwa kwenye text file)

Pia jambo jengine muhimu ni bios, kwenye bios kuna setting ikifika joto kiasi gani pc ijizime pia kuna option ya kuzifunga sensor za kuangalizia joto (kama unatumia speed fan na sensor haifanyi kazi ipasavyo utapata data ambazo si sahihi) hivyo vyema pia ukaingia bios.
 
Chief speedfan nilishaondoa baada ya kuona sipati data yoyote ya kusaidia though ilikuwa inanipa real time data

Hapo kwenye bios ndo sijapaona nimepatafuta sana labda unisaidie napapata vipi
 
Pc health ama system health ama kifananiacho
 
1. Jaribu kurun kama admin hilo game

2. Uliverify mafile yote ulionstall yapo?

3. Kama ni crack pengine ant virus imekula mafile, cheki kama imekula yarudishe (angalia Quarantine)
Nili-verify na mafile yote yalikuwepo hakuna lilomis
 
Nimeona sehemu solution ni kurestart computer jaribu.
Nimejaribu ila bado imegoma sahv inaleta notification ya DX11 feature level 10.0 is required to run the engine

nilitumia direct x emulator kuiset ili ifunguke ndio ikaanza kuleta hio notification tena
 
mambo vp cheif Mkwawa
naomba na mm unipe muongozo kuhusu hii
cpu yangu uwezo wake ukoje

dell optiplex 7010
proccessor intel(R) core (TM) i7- 3770 CPU @ 3.40GHZ

Shukran
 
Asante mkuu..nikitaka niichange na i3 -1005G1
Uta upgrade ila sio sana na graphics ni ile ile. Kama unaweza subiri gen ya 12 soon zitakuwa sokoni wamesha anounce laptop tayari january hii.

I3 tu ya Alderlake itakuwa na core za kutosha,
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Uta upgrade ila sio sana na graphics ni ile ile. Kama unaweza subiri gen ya 12 soon zitakuwa sokoni wamesha anounce laptop tayari january hii.

I3 tu ya Alderlake itakuwa na core za kutosha,
Asantee mkuu...ubarikiwe
 
Nahitaji kununua laptop ya matumizi ya kawaida ikiwemo games. Laptop inafaa
Napenda HP brand pia SLIM
Na vipi kuhusu hii
Screenshot_20220126-003848.png
 
Back
Top Bottom