halla
New Member
- Feb 19, 2021
- 3
- 0
Nahitaji msaada wenu wakuu....nna laptop HP probook 440 g4 nikitumia bila AC yaan ikipata joto kidogo tu inazima ghafla bila error yeyote. Nimefanya maintenance kwenye vent hakuna vumbi wala obstruction yeyote, fan inazunguka, heat paste nimebadili, all updates nmefanya mpaka kwenye bios na pia matumizi yangu ni ya kawaida(MS Office, surf internet tena natumia edge browser) sina app inatia uzito na pia nimeilimit kutumia only one processor. Ikiwa kwenye AC au ubaridi inafanya kazi vizur kabisa na speed yake ipo vizuri kabisa
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
View attachment 2052063
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
View attachment 2052063