Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
ChiefThen mkuu kuna possibility kubwa ni Hardware problem, kama una fundi Karibu aicheki.
Kawaida mkuu, hapo cpu ni dhaifu sababu ni dual core thread 4 ila ina dedicated gpu hivyo inaongeza value. Jaribu kumshusha kidogo.Chief
Lenovo ina
Intel core i5 7200u 2.5ghz
Geforce 940mx
Kwa sh 800,000 ni deal nzuri?
Weka na pichaDell Latitude E5440
Core i5 4310u
250GB HDD
4GB ram
Battery 3hrs/above. Mwenye 350k aje tumalize biashara. 0763976109
ina nguvu sana hiyo usiiache kama unaitaka.Hiii vipi wakuuView attachment 2245998
Nunua SSD sata 3 kama haisupport M2Wakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
Ndio unaweza weka ssd.Wakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
Sijakuelewa hapa ni baada ya kubadilisha au sasa ivi nifanye huo mchakato?Ndio unaweza weka ssd.
Ikiwa slow ingia task manager kati ya cpu, ram na storage ipi ipo 100%
Sasa hivi, Maana unaweza ukadhani tatizo ni hdd kumbe ram ama Cpu ndio inazingua.Sijakuelewa hapa ni baada ya kubadilisha au sasa ivi nifanye huo mchakato?
Angalia disk heath kwanza kama itakuwa ni 40.parcentage na kushuuka basi must itakuwa slowWakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
Mbona nakiona kama kidogo sana hiki mzeeina nguvu sana hiyo usiiache kama unaitaka.
1080 ti ni Highend gpu, perfomance yake ni between rtx 3060 na 3070 hata 4k baadhi ya Games inasukuma.Mbona nakiona kama kidogo sana hiki mzee
narudia mkuu kama inapatikana usiiache ichukue.Mbona nakiona kama kidogo sana hiki mzee
Ila namba zinacheza hazijatulia lakin zinachezea apo apo tu haziendi mbali
Eeh bn.. iyo disk health ndio unaangaĺia vipi mkuu?Angalia disk heath kwanza kama itakuwa ni 40.parcentage na kushuuka basi must itakuwa slow
Uliingia task manager hali ya kuwa machine ipo slow?Ila namba zinacheza hazijatulia lakin zinachezea apo apo tu haziendi mbali