Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief
Lenovo ina
Intel core i5 7200u 2.5ghz
Geforce 940mx

Kwa sh 800,000 ni deal nzuri?
Kawaida mkuu, hapo cpu ni dhaifu sababu ni dual core thread 4 ila ina dedicated gpu hivyo inaongeza value. Jaribu kumshusha kidogo.
 
Dell Latitude E5440
Core i5 4310u
250GB HDD
4GB ram
Battery 3hrs/above. Mwenye 350k aje tumalize biashara. 0763976109
 
IMG_2342.jpg

IMG_2344.jpg

IMG_2346.jpg
 
Wakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
 
Nunua SSD sata 3 kama haisupport M2
 
Wakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
Ndio unaweza weka ssd.

Ikiwa slow ingia task manager kati ya cpu, ram na storage ipi ipo 100%
 
Sijakuelewa hapa ni baada ya kubadilisha au sasa ivi nifanye huo mchakato?
Sasa hivi, Maana unaweza ukadhani tatizo ni hdd kumbe ram ama Cpu ndio inazingua.

Hapo utapata Jibu sahihi ikiwa slow kitu gani kinasumbua.
 
Wakuu nna laptop yangu dell latitude E6440 specs ram 8gb processor 2.7..ghz cor I 5 nimejaribu kuipiga window mala kadhaa lakin imekuwa nzito Sana nnapoitumia tatizo linaweza kuwa nini wakuu
Maono yangu ni kuwa HDD kama kweli naweza kubadilisha nikaweka SSD?
Angalia disk heath kwanza kama itakuwa ni 40.parcentage na kushuuka basi must itakuwa slow
 
Back
Top Bottom