Jitu Kabeja Diggala
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 165
- 184
Shukrani sana mkuuKwa video production hio i7 itakuwa nzuri, sababu ni Quad core na thread 8 pia.
Ngumu mkuu kupata vyote na performance na Battery life kwa hio budget.CHief!
budget yangu ni 500k mashine ipi (laptop) naweza pata kwa budget hiyo kipaumbele ni performance na utunzaji wa charge.
Ya kizamani mkuu, ni dual core matumizi ya kawaida itafanya ila kazi nzito haitaweza fanyaVip kuhusu hii wakuu.View attachment 2273285
Asante ChiefNgumu mkuu kupata vyote na performance na Battery life kwa hio budget.
Kama battery life ni priority unaweza tafuta pentium za kisasa gen za karibuni kama Pentium N6000 ama N5000
Kwa kawaida labda utafute i3 gen ya 6 mpaka 8 hivi waweza pata yenye ukaaji chaji mzuri ila uwezekano ni mdogo sana.
Wakati ipo slow run task manager kisha angalia kitu gani kimejaa?Chief naomba unisaidie hii mashine inawindows 10 pro lakini iko slow sana kuwaka hadi kwenye kurun program ni tatzo.
je ni procesor au ni windows?View attachment 2302474
mhh! basi mimi niliamini kwamba pc monitor mara nyingi inakuwa ni overall ya tv kwnye nyanja nyingi hadi kwenye ubora wa pichaMonitor za gaming zina quality mbovu lakini, zimejaa kibao machinga, MI nimenunua Aoc moja hapa 144hz kwa laki 2 tu, Sema rangi mchele mchele,
Ukiwa na Gpu kidogo inasaidia ku calibrate color.
Monitor ina quality kushinda TV, sababu unakaa nayo sana karibu na macho, monitor za 24 inch tayari ni full HD kupanda, tv full hd most of time ni inch 40 kupanda mpaka 32 inch tv ni HD kawaida, ila monitor ikifika 32 ujue hio ni 4k.mhh! basi mimi niliamini kwamba pc monitor mara nyingi inakuwa ni overall ya tv kwnye nyanja nyingi hadi kwenye ubora wa picha
vipi za huko uchinani una maoni gani??Monitor ina quality kushinda TV, sababu unakaa nayo sana karibu na macho, monitor za 24 inch tayari ni full HD kupanda, tv full hd most of time ni inch 40 kupanda mpaka 32 inch tv ni HD kawaida, ila monitor ikifika 32 ujue hio ni 4k.
Mkuu huwa sishauri kununua vitu vya pc china maana ni ghali, hio bei na usafiri kuileta mpaka hapa ina maana inaweza fika hata laki 6 ama zaidi kwa no name Chinese monitor.vipi za huko uchinani una maoni gani??View attachment 2304140
Kubabenyoo!!!!! Hii ina video graphic gan? Inaonekana ni unyama sana
Budget ya kueleweka unapata tv kali, mfano nanocell za lg ni kama monitor, input lag ndogo, refresh rate kubwa, resolution na quality nzuri etc, hata oled inakimbiza.Kwahio Mkuu Chief-Mkwawa unashauri Mtu kama na budget ya kueleweka anunue tu Monitor badala ya TV? ili atumie kwa Functions zote.
LG nanocell bei gani Boss.Budget ya kueleweka unapata tv kali, mfano nanocell za lg ni kama monitor, input lag ndogo, refresh rate kubwa, resolution na quality nzuri etc, hata oled inakimbiza.
Ila budget ndogo, mfano tv ya inch 24 siielewi kabisa kwa upande wangu na hata 32 ni hit and miss,
Zinaanzia around milioni 1 kupanda mkuuLG nanocell bei gani Boss.