Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Vip kuhusu hii wakuu.
20220626_184253.jpg
 
CHief!
budget yangu ni 500k mashine ipi (laptop) naweza pata kwa budget hiyo kipaumbele ni performance na utunzaji wa charge.
 
Ngumu mkuu kupata vyote na performance na Battery life kwa hio budget.

Kama battery life ni priority unaweza tafuta pentium za kisasa gen za karibuni kama Pentium N6000 ama N5000

Kwa kawaida labda utafute i3 gen ya 6 mpaka 8 hivi waweza pata yenye ukaaji chaji mzuri ila uwezekano ni mdogo sana.
 
Asante Chief
Natakiwa kuongeza kiasi gan?
ili nipate mashine yenye priority hizo
 
Chief naomba unisaidie hii mashine inawindows 10 pro lakini iko slow sana kuwaka hadi kwenye kurun program ni tatzo.
je ni procesor au ni windows?
IMG_20220724_150939.jpg
 
Monitor za gaming zina quality mbovu lakini, zimejaa kibao machinga, MI nimenunua Aoc moja hapa 144hz kwa laki 2 tu, Sema rangi mchele mchele,

Ukiwa na Gpu kidogo inasaidia ku calibrate color.
mhh! basi mimi niliamini kwamba pc monitor mara nyingi inakuwa ni overall ya tv kwnye nyanja nyingi hadi kwenye ubora wa picha
 
Monitor ina quality kushinda TV, sababu unakaa nayo sana karibu na macho, monitor za 24 inch tayari ni full HD kupanda, tv full hd most of time ni inch 40 kupanda mpaka 32 inch tv ni HD kawaida, ila monitor ikifika 32 ujue hio ni 4k.
 
vipi za huko uchinani una maoni gani??
Screenshot_20220726-090401_AliExpress.jpg
 
Kwahio Mkuu Chief-Mkwawa unashauri Mtu kama na budget ya kueleweka anunue tu Monitor badala ya TV? ili atumie kwa Functions zote.
Budget ya kueleweka unapata tv kali, mfano nanocell za lg ni kama monitor, input lag ndogo, refresh rate kubwa, resolution na quality nzuri etc, hata oled inakimbiza.

Ila budget ndogo, mfano tv ya inch 24 siielewi kabisa kwa upande wangu na hata 32 ni hit and miss,
 
LG nanocell bei gani Boss.
 
Back
Top Bottom