Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

 
Chief naomba msaada wa kujua kwa nini hii mashine kila nikiweka windows 11 inakataa kwamba hameet requirements
 
Chief naomba msaada wa kujua kwa nini hii mashine kila nikiweka windows 11 inakataa kwamba hameet requirementsView attachment 2313039
Hii ni gen ya 7 official haikubali win 11 ila unaweka.

Kuna ki program kinaitwa rufus kidownload kwenye machine, download win 11 iso kama unayo tayari tumia rufus kuiweka kwenye flash, Rufus itakupa option ya kuondoa hio requirement.
 
Hii ni gen ya 7 official haikubali win 11 ila unaweka.

Kuna ki program kinaitwa rufus kidownload kwenye machine, download win 11 iso kama unayo tayari tumia rufus kuiweka kwenye flash, Rufus itakupa option ya kuondoa hio requirement.
toa neno mkuu
 
Hio desktop ya Xeon si mbaya ila ni ya kizamani, toka 2012, cpu yake ina core nyingi ila nguvu ya core 1 ni ndogo.

Mfano laptop ya i3 ya gen ya 12 inaikalisha hio desktop. Desktop+hio monitor ni ghali kuliko laptop ya i3.

Monitor nayo nzuri kwa media ila kama unafanya vitu serious kama competitive games 60hz si nzuri kwa games, ila overall ina Value. Na pia wanadanganya si mpya
 
Chief, intel xeon e5-2666 v3, inafaa kwa software za modeling?
 
Chief, intel xeon e5-2666 v3, inafaa kwa software za modeling?
Cpu nzuri sana mkuu. sema tu inakula umeme. Perfomance yake ni equivalent ya i7 gen ya 9, ama original Ryzen 7 1700.

Inategemea unai pair na gpu gani, ila cpu kama cpu haina shida itafanya hiyo kazi kwa ufanisi.
 
Cpu nzuri sana mkuu. sema tu inakula umeme. Perfomance yake ni equivalent ya i7 gen ya 9, ama original Ryzen 7 1700.

Inategemea unai pair na gpu gani, ila cpu kama cpu haina shida itafanya hiyo kazi kwa ufanisi.
Asante, GPU gani itafaa ?
 
Asante, GPU gani itafaa ?
Angalia power supply mkuu, kama ni ndogo na haina extra pin za Gpu the best kwa Amd ni 6400xt, kwa Nvidia Gtx 1650.

Kama ni power supply kubwa inayoweza kumudu gpu nyingi angalia mfuko wako mwenyewe. Ukipata latest kama Rtx 3000 series ama hizi zinazotoka za 4000 series ni vyema zaidi.

Pia angalia minimum requirement ya software unazotumia kupata information zaidi.
 
Sawa. [emoji1545]
 
Chief-Mkwawa Mkuu heshima tele kwako na nitoe shukrani zangu za dhat kwa kunisaidia kuhusu issue za IT. Nina bajeti ya laki 5 nahitaji laptop zile ndogo kwa size prefarably min laptop ambapo matumiz yangu ni kutumia sana word, excel, powerpoint, kuangalia video files na kusurf internet ambapo naweza kufungua hata page 10 kwa wakati mmoja (japo moja ndiyo inakuwa active yaan naisoma kwa wakati but ni dakik tu naweza switch kwenye page nyingine, then page nyingine). In fact mimi siyo mtu wa gaming but napenda laptop iwe faster siyo nimefungua word documents kama 5 hivi, then kuna audio inaplay background, halaf kuna excel doc 2 zimefunguliwa, then kuna pdf, na powerpoint halaf kuja kuopen browser nakuta laptop nzito hiki ndiyo kitu sikitaki, nataka laptop iwe faster. Kingine mimi ni mdau sana wa kudownload larger video files. So naomba unisaidie kwa matumiz hayo hapo juu nichukue min laptop yenye specification gani mkuu? hapo naongelea zile used na ambaye nitakaa nayo hata 4-5 years na itakuwa inakaa na charge na ambayo itakubali latest window edition na vipogram kama zoom, skype for business n.k napendelea sana HP brand but if kuna brand nyingine nzuri ni sawa we nishauri tu.
 
Tafuta thinkpad 11e yenye i3 6100u inatosha kwa matumizi yako, ram atleast 8GB na badili hdd weka ssd.

11e kioo chake ni inch 11, so ni size ya Tablet tu.

Mtaani vipo used bei inarange 400k mpaka 500k kwa hio i3.
 
Tafuta thinkpad 11e yenye i3 6100u inatosha kwa matumizi yako, ram atleast 8GB na badili hdd weka ssd.

11e kioo chake ni inch 11, so ni size ya Tablet tu.

Mtaani vipo used bei inarange 400k mpaka 500k kwa hio i3.
Shukrani sana mkuu wakati naitafuta hii uliyonishauri nikakutana na laptop hii Brand : hp
model : Hp Probook 11 G2
processor : core i3
generation : 6th gen
processor type : Intel (R) Core (TM) i3-6100U CPU @ 2.30GHz 2.30GHz (4CPUs)~ Vipi hii mkuu nayo unashaurije ni nzuri kama hiyo Lenovo ya thinkpad 11e yenye i3 6100u? nisamehe bure nimekariri kuwa laptop za HP brand ni nzuri zaidi🤣🤣
 
Haina neno mkuu, hakikisha ram ni 8GB, kama ni 4GB cheki kama ipo slot ya ku upgrade ili baadae uongeze ram,
 
Chief habari za muda kidogo nilipotea ila bado tuko pa1 kwenye group letu Leo na naswali kidgo hapa

Mashine yangu ni core i5 4gen ram8 ddr3 SSD gb128 hard disk tb 4.5 graphic card yangu Ile Ile Rx 550

Ila kwa game zakisasa kama God of war napata performance ndogo Sana nilikuwa nataka kufanya upgrade

Kuna mashine nataka nichukue core i3 8gen ram12 ddr4 ssd GB128 VIP nikiweka na card yangu naweza pata performance ya juu kuzidi Hii core i5 yangu Kaka! Au ninunue card ingne tu?
 
I3 gen ya 8 ina nguvu kuliko i5 gen ya 4 ila utofauti mdogo sana. Hutapata advantage yoyote kubwa.

Sema uzuri wa i3 gen ya 8 ina advantage ya upgrade path nzuri, unaweza huko mbele ukaweka i7 ama i9 gen ya 9.

Minimum requirements ya god of war ni
I5 2500k
Gtx 960M

Hivyo unaona hapo kwenye cpu inataka gen ya 2 tu, cpu yako imekidhi mahitaji ila gpu ndio inataka kubwa zaidi.

Sababu crypto zimecrash gpu zinashuka sana bei, Gtx 1650 na Rx 6400xt sasa hivi ndio zina nguvu zaidi kwa gpu zisizotumia waya, zinazoingia kwenye hizi machine zetu za kina dell na Hp.
 
Kwaiyo unanishaulije chief hapo? Ninunue GPU mpya Tu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…