Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

ila gtx 1060 6gb si ina nguvu kushinda gtx 1650?
Huku faida ya gtx 1060 inahitaji watt 400psu na inapatikanna around laki 3.5 pamoja na sheeping.
Kibongo bongo nimeona kuna hii Hp elitedesk 800 G2 inakuja na core i3,i5&i7 gen ya 6. huku ikiwa na psu ya watt 400 (ila zipo version mbili za psu 400 na watt 280) hapo ni umakini kuangalia kabla ya kuinunua.

Attachments

  • Screenshot_20221015-222044.png
    86.5 KB · Views: 14
Issue mkuu si wingi wa watts tu, bali psu/mobo ambayo ina waya nyingi kusuport gpu, ama standard husika ie Atx.

Motherboard ina uwezo wa kutoa watts 75 tu, hivyo gpu ikiwa inahitaji umeme zaidi inabidi utoke direct toka kwenye power supply.

Standard psu inakuja na waya 24, baadhi zinaingia kwenye motherboard nyengine ndio zinatumika kwenye vitu kama Gpu na CPU.

Hizi Psu za kina HP na Dell nyengine zina pin 6, nyengine 10 etc hukuti waya wa Gpu na mambo mengine yapo tofauti compare na standard,

So hio HP uhakika haitumii psu za HP? Kama inatumia standard itakuwa ni machine nzuri sana, ila i doubt Elitedesk ni machine za ofisini hapo ndio wanapatia ulaji hawawezi weka Psu ya kawaida.
 
embu wewe mtaalamu embu nawe icheki mtandaoni halafu uone kama inafaa kuupgrade. hiyo hp 800 G2.
 
embu wewe mtaalamu embu nawe icheki mtandaoni halafu uone kama inafaa kuupgrade. hiyo hp 800 G2.
Nimecheki mkuu sijaona sehemu 100% uhakika kwamba inasuport hio gpu.

Ila uhakika nimeona unaweza fanya modification ya Psu na ku convert ikasuport 1060 gpu, ila hii ni shughuli nyengine.

Ngoja hii issue niifanyie kazi model gani za desktop zinazokuja na srandard psu.
 
yaah embu fanya hivyo mkuu. maana rx 580 ni kama laki mbili na nusu. ila psu recommend ni watt 500 so unalazimika kuongeza gharama ya kununua psu. wakati kuna gtx 1060 unanunua laki 3 then unakuwa umemaliza.
na mwisho wa siku performance zinafanana.
 
[mention]Chief-Mkwawa [/mention]
Habari kiongozi? Nina laptop yangu ina tatizo la maandishi kucheza cheza. Kuna wakati inatulia lakini kuna wakati inaendelea. Hili tatizo linatolana na nini?
 
[mention]Chief-Mkwawa [/mention]
Habari kiongozi? Nina laptop yangu ina tatizo la maandishi kucheza cheza. Kuna wakati inatulia lakini kuna wakati inaendelea. Hili tatizo linatolana na nini?
Kama una monitor ama TV jaribu ku connect uone kama kwenye tv ama monitor pia yanacheza cheza?
 
yaah embu fanya hivyo mkuu. maana rx 580 ni kama laki mbili na nusu. ila psu recommend ni watt 500 so unalazimika kuongeza gharama ya kununua psu. wakati kuna gtx 1060 unanunua laki 3 then unakuwa umemaliza.
na mwisho wa siku performance zinafanana.
Bila bila mkuu, gaming desktop pekee kama Omen, legion, Alienware, etc ndio zinakuja na standard.

Workstation zote kama Thinkcentre, Hp Z series etc zina psu kubwa nyengine hadi watts 600 ila zote zina uwalakin kwenye pin zake, wanazimix hadi uzimodify,

Hivyo mkuu hapa ni kutafuta tu ambayo ni rahisi ku modify hizo waya.
 
PSU yangu ni ya 650W

Nataka nichukue rtx 3060 ti
 
Mkuu VIP hiii PSU inaweza kufaa kwenye baadhi ya card?
 
Sijaifunga kabisa coz bado sina uhakika Sana maybe nitafute mtu mwenye uzoefu anifungie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…