Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief Hii imekaaje labda inaweza kuwa inatoa umeme wakutosha kwenda kwenye GPU ?
Screenshot_20221029-142637~2.jpg
 
Alafu naona kwenye psu Watts zake ni za kawaida Tu!View attachment 2395805
Gpu zimeporomoka sana bei now karibu online store zote zote yaani hata hii rtx 2060 unaipata kwa laki 4-5 now bila sheeping.

hii rx 580 ningeshaichukua lakini bado ishu inakuja kwenye PSU bongo ni za shida. so hapo kuna gharama nyingine itahusika ndio maana bado napata kigugumizi.
 
Agizia na PSU bongo mtihani kupata inayo jielewa
Ila kuna zile machine za Xeon PSU zake uwa ZIKO vizur San ukipata ilio kufa kwa mtu naamin utapata PSU. Ya ukakika
 
Kwan motherboard ni gharama Sana ukiagizia Kaka! Ukachukua na PSU yake huko huko tu!?
Chini ya laki kwa H series ambazo zina bei ni Z series na B series ni kati kati.

4th gen chipset yake ni lga 1150.

Malyasia na Dubai (sababu kodi ni ndogo) hivi vitu ni bei rahisi sana, nimecheki now ni kama $25 tu kwa H61 na $38 kwa B85.

Ebay $26 kwa H81

Kwa ebay kama unaweza ongea na seller vizuri akaship huku si mbaya hio bei.

Kifupi chini ya laki bei si mbaya. Juu ya laki not worth it ku invest 4th gen.
 
Basi inawezekana!

Na vipi Ellie Xpress Wana mawakala hapa tz au ofisi
Kama ilivyo kikuu?
 
Basi inawezekana!

Na vipi Ellie Xpress Wana mawakala hapa tz au ofisi
Kama ilivyo kikuu?
Ellie umemaanisha Aliexpress? Hawana mawakala ila kuna kampuni ina kama ubia inaitwa speedaf mzigo unaletewa.

Pia Aliexpress ni safe kuliko kikuu kama mzigo una matatizo wanaku refund.

Ila kwa vifaa ambavyo havitoki china Aliexpress ni ghali sana, nimepitia kidogo Mobo zina bei sana angalia na wewe.
 
Chief mie sichoki kuuliza Hii 4 pin nimeiona hata kwenye Hii psu yangu Ila sina uhakika Sana maana nimeona nikipata iyo adapter ya 4 pin to 8 pin naweza kutumia!
Screenshot_20221031-114647.jpg
 
Back
Top Bottom