yaah, kabla ya kubuy pale anaangalia tu kwenye maelezo ya bidhaa wanaonyesha inaatumia pin ngapi. shida yake tu bei imeizidi rx 580 kwa zaidi ya laki moja.1060 ina 6 na 8 pin version, akipata ya 6 pin itasukuma
Ila kwa long term 1060 ni nzuri zaidi, idle inatumia 5W tu, kwenye gaming around 100W na peak around 125W.yaah, kabla ya kubuy pale anaangalia tu kwenye maelezo ya bidhaa wanaonyesha inaatumia pin ngapi. shida yake tu bei imeizidi rx 580 kwa zaidi ya laki moja.
so mpaka sasa gtx 1060 ni kama imeshinda, kuanzia requirements.Ila kwa long term 1060 ni nzuri zaidi, idle inatumia 5W tu, kwenye gaming around 100W na peak around 125W.
Rx 580 idle ni almost 20W, gaming ni around 200W na peak inaenda hadi 220W.
So hizo watts 100W difference in long term Tanesco watachukua Hela zao.
Kama mfuko unaruhusu Ndio, kama hauruhusu unajibana huko RX 580.so mpaka sasa gtx 1060 ni kama imeshinda, kuanzia requirements.
tofauti ya budget ni ndogo. wakati huo rx580 inataka mambo mengi.Ila kwa long term 1060 ni nzuri zaidi, idle inatumia 5W tu, kwenye gaming around 100W na peak around 125W.
Rx 580 idle ni almost 20W, gaming ni around 200W na peak inaenda hadi 220W.
So hizo watts 100W difference in long term Tanesco watachukua Hela zao.
Connector za molex unazikata unatumia nyaya tu kuzipachika kwenye hiyo connector mpya atakayotengeneza.Sasa atapelekaje hizo watts kwenye gpu asipotumia Molex?
Alternartive nyengine ni kununua mpya, Gtx 1650 ama Rx 6400xt, hizi hutangaika na powersupply na bei zinashuka, juzi nimemchukulia mtu 6400xt kila kitu mpaka hapa 450k, hapo haipo kwenye sale, ukivizia black friday, ama sale nyengine unaweza pata hizo range za 350k.so mpaka sasa gtx 1060 ni kama imeshinda, kuanzia requirements.
Vram zake zinakuwa maximum GB ngap izo mkuu?Alternartive nyengine ni kununua mpya, Gtx 1650 ama Rx 6400xt, hizi hutangaika na powersupply na bei zinashuka, juzi nimemchukulia mtu 6400xt kila kitu mpaka hapa 450k, hapo haipo kwenye sale, ukivizia black friday, ama sale nyengine unaweza pata hizo range za 350k.
4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.Vram zake zinakuwa maximum GB ngap izo mkuu?
Shukrani Sana mkuuHard disk kama jina lilivyo ni Disk ndani kunakuwa na kitu kama CD kinazunguka na kuhifadhi vitu.
Ssd ni flash kama memory card sema zinapangwa nyingi na zinakuwa na speed sana.
Machine yenye ssd inakuwa na speed sana kufanya mambo ya kawaida ya kila siku, ukiwa na ssd yenye speed kubwa computer inawaka ndani ya sekunde 10 tu,
Hdd zenyewe zipo slow ila ni bei rahisi.
Chief nje ya Maada, naomba utaalamu kuhusiqna na hizi TV mbili.4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.
Hizo LG hujaniambia model zake mkuuChief nje ya Maada, naomba utaalamu kuhusiqna na hizi TV mbili.
Kati ya LG Nanocell 65 inch.. NANO 86 na Samsung QLED INch 65 Q65A....
Ipo ni nzuri kuichukua ??
Hii LG..ni Nanocell 65NANO86Hizo LG hujaniambia model zake mkuu
Muuzaji anasema hii Nanocell 86 ina ubora same na Samsung QLed 65Q70A.Hizo LG hujaniambia model zake mkuu
Mkuu hii nanocell una plan kuitumia na Vitu kama PC as a monitor? Ama ni matumizi tu ya kawaida ya Nyumbani? Una internet yenye speed? Unaangalia Netflix?Muuzaji anasema hii Nanocell 86 ina ubora same na Samsung QLed 65Q70A.
So kama nataka Kuchukua 65Q65A ni bora nichukue hiyo NANO86...
Hapa unaonaje ChiefView attachment 2406253View attachment 2406254
Matumizi ya kawaida ya nyumbani!Mkuu hii nanocell una plan kuitumia na Vitu kama PC as a monitor? Ama ni matumizi tu ya kawaida ya Nyumbani? Una internet yenye speed? Unaangalia Netflix?
Hii Samsung ni overall better kuliko Nano ila kila moja ina Strength zake, nano inafaa kama Monitor Samsung vitu kama Movie na HDR contents.
All in All zote ni tv midrange za kawaida na vioo vyake si vizuri kutumia eneo ambalo halina mwanga.
Kama budget inaruhusu Tafuta Highend kama za LG zenye Oled ama Qled.
Mkuu hio Samsung ni Overall TV nzuri zaidi kushinda LG, ila LG kwa. Matumizi yako pemgine ikawa nzuri zaidi.Matumizi ya kawaida ya nyumbani!
Hata Netflix huwa hatuangalii.
Shukrani!Mkuu hio Samsung ni Overall TV nzuri zaidi kushinda LG, ila LG kwa. Matumizi yako pemgine ikawa nzuri zaidi.
LG ina upscale vizuri content za 480p na 720P ambazo tv zetu nyingi za kina Azam na Startimes wanatumia, kama matumizi yako makubwa ni haya chukua hio nano86.
Oooh shukran mkuu sikuwa n elimu nacho icho pia Ila unaweza kunifafanulia vzur kuhusu bandwidth why iwe na nguvu kupita vram yenyew kuhusu gddr izo kidogo nauwelewa nacho hapo kwenye bandwidth! Tu4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.
Ukitaka kuipata hii concept, computer zetu zina ram, mfano kama yako ni gen ya 4 ina ddr3, kuanzia gen ya 6 ni ddr4, gen ya 12 na zen 4 ni ddr5 etc. Why gpu iwe na ram wakati tayari computer zetu zina ram? Tena ya kutosha?Oooh shukran mkuu sikuwa n elimu nacho icho pia Ila unaweza kunifafanulia vzur kuhusu bandwidth why iwe na nguvu kupita vram yenyew kuhusu gddr izo kidogo nauwelewa nacho hapo kwenye bandwidth! Tu